Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Hili si kazi ngeni kwa Magufuli anauzoefu wa kutoshaNaona ni vema majengo ya ikulu yakauzwa kwa Rais aliyeko madarakani sasa. Baada ya hapo, serikali italipa pango. Mmiliki (Rais wa sasa) atashughulikia matengenezo na maboresho yote kulingana na matakwa ya serikali. Hatua hii itapunguza gharama kwa serikali.
Nina imani, Magufuli hili anaweza kulisimamia.
Wengine mna maoni gani?
Na ngome iuzwe kwa chief of staff wa sasa kwa minajili hiyo hiyo kupunguza gharama na kuboresha huduma
acha hivyo hivyo ili kikwete apate pa kula kwa kujifanya katumia bil.20 wakati zimetumika bil.6
Hili si kazi ngeni kwa Magufuli anauzoefu wa kutosha
Na gereza la ukonga auziwe Rostam
Na gereza la ukonga auziwe Rostam
Nani atakuwa wa kwanza kufungwa baada ya management mpya ya Rostam?