Magufuli mshauri ikulu iuzwe kwa rais aliye madarakani

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Naona ni vema majengo ya ikulu yakauzwa kwa Rais aliyeko madarakani sasa. Baada ya hapo, serikali italipa pango. Mmiliki (Rais wa sasa) atashughulikia matengenezo na maboresho yote kulingana na matakwa ya serikali. Hatua hii itapunguza gharama kwa serikali.

Nina imani, Magufuli hili anaweza kulisimamia.

Wengine mna maoni gani?
 
Na ngome iuzwe kwa chief of staff wa sasa kwa minajili hiyo hiyo kupunguza gharama na kuboresha huduma
 
Hili si kazi ngeni kwa Magufuli anauzoefu wa kutosha
 
Na ngome iuzwe kwa chief of staff wa sasa kwa minajili hiyo hiyo kupunguza gharama na kuboresha huduma

Comrade

Mawazo yetu yakichukuliwa na serikali, serikali itapunguza gharama sana. Jengo la Bunge auziwe Ana Makinda.
 
acha hivyo hivyo ili kikwete apate pa kula kwa kujifanya katumia bil.20 wakati zimetumika bil.6
 
Baada ya menejimenti mpya ya Rostam,Sitta ndo an hai mbaya,siku akienda Uganda kwenye mkutano wa Afrika Mashariki alafu ili kupunguza gharama akakaa siku mbili badala ya tatu na night alowance akachukua za siku 2 basi atapelekwa mahakamni siku hiyo hiyo na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na kazi nzito kwa kuhujumu uchumi wa Tz
 
Mmesahau kidogo waungwana, Mzee wa vijisenti auziwe barabara zote ili kila anayepita humo atoe vijisent
 
Back
Top Bottom