Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Naona ni vema majengo ya ikulu yakauzwa kwa Rais aliyeko madarakani sasa. Baada ya hapo, serikali italipa pango. Mmiliki (Rais wa sasa) atashughulikia matengenezo na maboresho yote kulingana na matakwa ya serikali. Hatua hii itapunguza gharama kwa serikali.
Nina imani, Magufuli hili anaweza kulisimamia.
Wengine mna maoni gani?
Nina imani, Magufuli hili anaweza kulisimamia.
Wengine mna maoni gani?