Magufuli mpe ubunge mwanamama Dr. Frannie Léautier

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,994
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa jana tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia watanzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.

Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.

This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.

Habari zake zingine hizo hapo

http://venturesafrica.com/dr-frannie-leautier-africas-queen-development/
 
Last edited:
Yupo vizuri ila kuna watanzania wengi tu wenye CV zilizoshiba kama yake au hata zaidi- angalia CV ya Muhongo, Rose Migiro, Mama Tibaijuka na wengine wengi japo sio wote wali-deliver.

Sio intellectuals wote wanafaa kuwa viongozi wengine wabaki watendaji kwenye sector zingine, kama msaada wake utahitajika Rais atamfikia maana naona anazingatia taaluma za watumishi kwenye sector husika
 
Pengine hana Degree (PhD's) waliotangulia wamewa-disappoint sana wenzao. Kuna watu ni holders wa hiyo kitu ila manyanga manyanga yao sasa, mafigisu figisu yao, mapyepyete yao, magumashi yao na mayembeleyembele yao yanafanya tuamini Pengine hana Degree. At least Mh.anaonyesha effect ya PhD yake. Walikuepo akina..... na akina........na wapo pia akina.......na akina......... Kiukwel ilikuwa huwezi tamani elimu yao hata kwa bure.
 
Nafasi zenyewe kumi, tunabana matumiz ya serikali...
Huko alipo kwani hawez kuwasaidia watanzania mpaka apewe u bunge.
Rais anapokea ushaur tu yeye afuate utaratibu wa kumwona.
Wapo pia mawaziri, Makatibu, na wasaidizi kibao tu wa Rais. Kuifanyia mema nchi yako sio mpaka upewe u bunge.
 
Huyu mama pamoja na digrii zake lakini anaongea kwa ufasaha lugha kuu tatu kiswahili,kiingereza na kifaransa na ametunukiwa tuzo za umahiri
mojawapo hiyo hapo ya AFRICAN ECONOMY BUILDERS AWARD.

Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa jana tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia watanzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

http://venturesafrica.com/dr-frannie-leautier-africas-queen-development/

Nilimfahamu huyu mama kweli ni kichwa alisoma Jangwani!. Nilimfahamu alipokuwa Vice Pesident wa WBI ndiye aliyeanzisha ile Tanzania Global Distance Learning Centre, TGDLC, pale IFM.

Tatizo ni lugha!, kwa sasa Kiswahili hakipandi tena!.

Pasco
 
Yupo vizuri ila kuna watanzania wengi tu wenye CV zilizoshiba kama yake au hata zaidi- angalia CV ya Muhongo, Rose Migiro, Mama Tibaijuka na wengine wengi japo sio wote wali-deliver.

Sio intellectuals wote wanafaa kuwa viongozi wengine wabaki watendaji kwenye sector zingine, kama msaada wake utahitajika Rais atamfikia maana naona anazingatia taaluma za watumishi kwenye sector husika

Huyu mama PHD yake inafanya kazi haijalala.walichorusha ITV kwenye mahojiano yake hiki hapa
 
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa jana tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia watanzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.

Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.

This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.

Habari zake zingine hizo hapo

http://venturesafrica.com/dr-frannie-leautier-africas-queen-development/
Hivi huujui mlango wa kuingilia ikulu ili ukamweleze hayo yoote magufuli?
 
S
Nafasi zenyewe kumi, tunabana matumiz ya serikali...
Huko alipo kwani hawez kuwasaidia watanzania mpaka apewe u bunge.
Rais anapokea ushaur tu yeye afuate utaratibu wa kumwona.
Wapo pia mawaziri, Makatibu, na wasaidizi kibao tu wa Rais. Kuifanyia mema nchi yako sio mpaka upewe u bunge.
Sijui atafanya lipi jipya ambalo wenzake wa uwezo huo wameshindwa kulifanya hapa nchini,tena kuna wabobezi zaidi ya huyo na wakija hapa wanachofanya ni maigizo na ''siasa ''lundo.sio kila msomi awe kiongozi ,unawaweza kuwa kiongozi na kuwasaidia Watanzania hata bila ya kuteuliwa kuwa mbunge au waziri.
 
sio lazima uingie kwenye siasa ili uweze kusaidia watanzania akili zetu zimedumazwa na siasa ndio maana watu wanaiba,wengine wanaua albino, wanavuliwa chupi ili wawe wabunge tunaweza kufanya mabadiliko hata tukiwa nje ya siasa
 
ELIMU NI MUHIMU. ILI MTU APATE FEDHA NZURI. LAKINI UWAZIRI NI USIMAMIZI NA UWEZO WA KUONGOZA WAFANAKAZI HUSIKA KUFUATANA NA SERA ZA WATAWALA WA NCHI . WASOMI NI WENGI SASA NA MIMI NINAO WATOTO DIGREE ZINAPANGANA JUU. ILA ZITAWASAIDIA WAO KUISHI VIZURI .
 
Nilimfahamu huyu mama kweli ni kichwa alisoma Jangwani!. Nilimfahamu alipokuwa Vice Pesident wa WBI ndiye aliyeanzisha ile Tanzania Global Distance Learning Centre, TGDLC, pale IFM.

Tatizo ni lugha!, kwa sasa Kiswahili hakipandi tena!.

Pasco
Wewe jamaa huwa najiuliza ni nani ambaye humfahamu? duh!
 
Back
Top Bottom