Hii makala ukiangalia kwa jicho la tatu ni mtu anaehitaji jinsi ya kupenya kwenye siasa za tanzania.. na je kwann!? Maana kwa CV hyo inahitaji uzalendo mkubwa mno kurudi nyumbani TZ na kutaka ubunge tu!.. mi nahisi kuna urais wa mwaka 2025 unatafutwa apa..
Tatizo la hii la hii kantri yetu ukiwa msomi mwanasiasa unatakiwa usomi wako uuweke kando uwe mwongo.
Mzembe.
Na hile ndio mzee Iwe kama sala kwako.
Uwe na akili za kina kibajaji maneno mengi cv mwisho darasa la saba.
Yaani kwa kifupi uwe magumashi kama kina madelu lameck.
Huyo maza hawezi bhana..akae hukohuko huku atachafuliwa
mtoa hoja unawaza kwa kutumia kiungo gani.APEWE ubunge ili afanye nini? Badala ya kushauri awe hata mshauri wa uchumi na uwezeshaji huko eti ubunge my foot. Huyu mama abakie huko huko kwenye sekta uake ndipo atatitendekea haki na sio kwwenye siasa
Akili matope. Yaani ukimwona mtu intelligent, all you can think ni ubunge??? Hii kazi ya ubunge ambayo inafanywa na watu waliofeli form 4 kama ilivyokuwa kwa yule msemaji wa chama chetu, ndiyo unaiona kazi ya maana kwa kila mtu mwenye uwezo kama huyu Mwanamama?? what a shameful thinking....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.