Magufuli Mitano Tena

Meko ni lazima akae pembeni na madaraja yake.

Watanzania wanahitaji ustawi katika maisha yao ya kila siku sio madaraja pekee ambayo hayamfanyi mtu ashibe.
Madaraja yatajenga Sana tu ndio njia ya kustawi hiyo....bado la kutokea Dar hadi Zanzibar tuwe tunajogging hadi Zenji😁

Lingine ni la Kigoma hadi Goma DRC....kuwa na subira mkuu utayaona.
 
The end justifies the means.
 
Mbona huku mtaani madiwani Wa ccm walioshinda uchaguzi wakipita kusherekea ushindi badala ya kushangiliwa wanazomewa ki style Fulani hivi.sioni tena wakisherekea ushindi.
 
Njia nzuri ya kuwazomea walioshinda kihuni ni kufuata anayoyasema mshindi halali, nje ya hapo ni makelele!
 
Madaraja yatajenga Sana tu ndio njia ya kustawi hiyo....bado la kutokea Dar hadi Zanzibar tuwe tunajogging hadi Zenji😁

Lingine ni la Kigoma hadi Goma DRC....kuwa na subira mkuu utayaona.
Kwa hii miaka mitano ijayo?,labda akawalambe miguu mabeberu.Ila kama ni wachina tutashindwa kuwalipa watatunyan,ganya nchi.
 
Nchi past 2020 will never be the same again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…