eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Mwanzo niliwahi kusikia Mahakama, Bunge,Serikali ni mihimili inayofanya kazi kwa kujitegemea n'a hakuna mwingine unaoweza kuingilia mwingine
lakini Léo nimemsikia Rais Ambae ni mtu wa serikali akimshurutisha spika Ambaye ni kiongozi wa Bunge kuendelea kutoa adhabu pâle bungeni kwa wapinzani tu
Humu ndani jamvi na nje yake hupenda kusema Rais ni mkurupukaji, nanyi wawili hayo mliyoyandika ni ukurupukaji au kutokujua kama hamjui!Hiyo ni lugha ya kihuni katika nchi yenye kuendeshwa kwa misingi ya kidemokrasia
Kweli kabisa na ni dharau kwa wapiga kura.Hiyo ni lugha ya kihuni katika nchi yenye kuendeshwa kwa misingi ya kidemokrasia
Mwanzo niliwahi kusikia Mahakama, Bunge,Serikali ni mihimili inayofanya kazi kwa kujitegemea n'a hakuna mwingine unaoweza kuingilia mwingine
lakini Léo nimemsikia Rais Ambae ni mtu wa serikali akimshurutisha spika Ambaye ni kiongozi wa Bunge kuendelea kutoa adhabu pâle bungeni kwa wapinzani tu
Tawire baba.Toka mchiriku ufe ni majanga.Humu ndani jamvi na nje yake hupenda kusema Rais ni mkurupukaji, nanyi wawili hayo mliyoyandika ni ukurupukaji au kutokujua kama hamjui!
Ibara ya 34 (1&2) ya Katiba ya JMT (1977) inasema:
(1) Kutakuwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na mamlaka juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara.
(2) Mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatahisu utekelezaji na hifadhi ya Katiba hii na pia mambo mengineyo yote ambayo Bunge lina mamlaka ya kuyatungia sheria.
Vifungu (3) - (5) vina nyongeza kuhusu madaraka ya Rais.
Humu ndani jamvi na nje yake hupenda kusema Rais ni mkurupukaji, nanyi wawili hayo mliyoyandika ni ukurupukaji au kutokujua kama hamjui!