Magufuli: mimi ndiyo boss wa bunge

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Mwanzo niliwahi kusikia Mahakama, Bunge,Serikali ni mihimili inayofanya kazi kwa kujitegemea n'a hakuna mwingine unaoweza kuingilia mwingine
lakini Léo nimemsikia Rais Ambae ni mtu wa serikali akimshurutisha spika Ambaye ni kiongozi wa Bunge kuendelea kutoa adhabu pâle bungeni kwa wapinzani tu
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
 
Na ****** anajifanya anajua kuitumia nafasi yake ya kiti wakati ni munafiki wa kwanza.
 
Mwanzo niliwahi kusikia Mahakama, Bunge,Serikali ni mihimili inayofanya kazi kwa kujitegemea n'a hakuna mwingine unaoweza kuingilia mwingine
lakini Léo nimemsikia Rais Ambae ni mtu wa serikali akimshurutisha spika Ambaye ni kiongozi wa Bunge kuendelea kutoa adhabu pâle bungeni kwa wapinzani tu

Hiyo ni lugha ya kihuni katika nchi yenye kuendeshwa kwa misingi ya kidemokrasia
Humu ndani jamvi na nje yake hupenda kusema Rais ni mkurupukaji, nanyi wawili hayo mliyoyandika ni ukurupukaji au kutokujua kama hamjui!

Ibara ya 34 (1&2) ya Katiba ya JMT (1977) inasema:
(1) Kutakuwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na mamlaka juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara.
(2) Mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatahisu utekelezaji na hifadhi ya Katiba hii na pia mambo mengineyo yote ambayo Bunge lina mamlaka ya kuyatungia sheria.
Vifungu (3) - (5) vina nyongeza kuhusu madaraka ya Rais.
 
Mwanzo niliwahi kusikia Mahakama, Bunge,Serikali ni mihimili inayofanya kazi kwa kujitegemea n'a hakuna mwingine unaoweza kuingilia mwingine
lakini Léo nimemsikia Rais Ambae ni mtu wa serikali akimshurutisha spika Ambaye ni kiongozi wa Bunge kuendelea kutoa adhabu pâle bungeni kwa wapinzani tu

Tundu kapige punyeto tafadhali, umeishiwa akili.
 
Humu ndani jamvi na nje yake hupenda kusema Rais ni mkurupukaji, nanyi wawili hayo mliyoyandika ni ukurupukaji au kutokujua kama hamjui!

Ibara ya 34 (1&2) ya Katiba ya JMT (1977) inasema:
(1) Kutakuwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na mamlaka juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara.
(2) Mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatahisu utekelezaji na hifadhi ya Katiba hii na pia mambo mengineyo yote ambayo Bunge lina mamlaka ya kuyatungia sheria.
Vifungu (3) - (5) vina nyongeza kuhusu madaraka ya Rais.
Tawire baba.Toka mchiriku ufe ni majanga.
 
Mihimili mitatu ya SERIKALI=serikali ni moja na mkuu wake ni raisi,mbona hiki kiswahili ni rahisi mno.?
 
Naanza kuelewa kwanini SOKWE wa mwanzo kabisa aligundulika AFRICA na sio new
 
Humu ndani jamvi na nje yake hupenda kusema Rais ni mkurupukaji, nanyi wawili hayo mliyoyandika ni ukurupukaji au kutokujua kama hamjui!

Ibara ya 34 (1&2) ya Katiba ya JMT (1977) inasema:
(1) Kutakuwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na mamlaka juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara.
(2) Mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatahisu utekelezaji na hifadhi ya Katiba hii na pia mambo mengineyo yote ambayo Bunge lina mamlaka ya kuyatungia sheria.
Vifungu (3) - (5) vina nyongeza kuhusu madaraka ya Rais.

Mkuu;
Umesema kweli na kweli tupu. Swali ni je, hiyo kanuni inafuatwa?? Kuna mtu anaifuata hiyo katiba?? Tafuta mwingine wa kukusikiliza. Mlipa zumari ndiye muomba ngoma
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom