2023 Bunge linaendelea; Je, vilio vyao nani atavisikia?

thereter

Member
Feb 9, 2023
46
36
Wakuu habari za jioni

Leo bhana nimewasha TV Yangu ya kichogo mara paapu nikaona tbc live Bunge likiendelea, mimi siyo mshabiki wa tbc but Leo nilikuta hiyo Chanel baada ya kuwasha TV sasa sijui ni wife au watoto sijataka kuhoji sana nikaangalia

Wabunge Wengi wanaonesha nia ya kuchukizwa na ufisadi mkubwa katika baadhi ya Taasisi na idara ndani ya serikali, ukweli mwanaume au mwanamke ambae ni mbunge anapoongea kwa hisia anachokizungumza it is truth but

My point

Ukitazama mifumo au muundo wa serikali yetu tunaona kuna mihimili mitatu
1. Serikali kuu
2. Mahakama
3. Bunge

Ukitazama mihimili hii inajitegemea tunavyoambiwa na tulivyosoma ila ukweli usiopingika mm siamini
Serikali KUU yupo Rais au Waziri Mkuu hapo sijui
Mahakama yupo jaji mkuu
Bunge yupo Spika

Ukitazama ukweli, spika rais ndie anayemua awe nani, Jaji Mkuu Rais ndie anaemua awe nani , Waziri Mkuu Rais ndie anayeamua awe nani

Je, kuna MTU hapendi familia yake Ile vizuri

MFUMO WETU WA BUNGE

MBUNGE AKITOA HOJA YENYE MASHIKO AU HOJA YA MSINGI INAKWENDA WAPI NA NI NANI MWAMUUZI WA MWISHO ?

End

Mwenyezi Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom