Magufuli, mgombea binafsi aliyewahadaa CCM?

Magufuli, mgombea binafsi aliyewahadaa CCM?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,972
Ni vile katiba hairuhusu mgombea binafsi lakini Lowassa baada ya kukatwa na CCM asingekwenda UKAWA angegombea kama mgombea binafsi. JPM ni mgombea binafsi aliyewahadaa CCM wakadhani na wachache wanadhani ni mwenzao.

Wahafidhina wa CCM mpaka leo wanajuta kupitishwa kwa jina lake.kwenye kampeni alikwepa kutamka neno CCM kwa kadri alivyoweza na sasa anakwepa ilani ya CCM, na wafanyabiashara wa CCM kwa kadri anavyoweza.

Kama kuna mtu anadhani JPM yuko upande wa CCM unajidanganya. CCM ilikufa siku Lowassa alipokatwa na JK.J PM akijiuzuru leo serikali itakayokuja itafuata nyayo za JK na watangulizi wake kwani huo ndio utamaduni wao.
 
Hiyo kweli: aendeleee kukaza hata hivyo katiba inambana waponzani wengi angewachagua eti mbowe ni Rafiki Yangu mpigieni makofi Mbowe mmmmh ...... Sijui lakini
 
Ni vile katiba hairuhusu mgombea binafsi lakini Lowassa baada ya kukatwa na ccm asingekwenda ukawa angegombea kama mgombea binafsi.JPM ni mgombea binafsi aliyewahadaa ccm wakadhani na wachache wanadhani ni mwenzao . waafidhina wa CCM mpaka leo wanajuta kupitishwa kwa jina lake.kwenye kampeni alikwepa kutamka neno CCM kwa kadri alivyoweza na sasa anakwepa ilani ya CCM,na wafanyabiashara wa CCM kwa kadri anavyoweza.kama kuna mtu anadhani JPM yuko upande wa CCM unajidanganya.CCM ilikufa siku Lowassa alipokatwa na JK.JPM akijiuzuru leo serikali itakayokuja itafuata nyayo za JK na watangulizi wake kwani huo ndio utamaduni wao

Muombeeni sana maana mpka sasa anakusanya maadui wa ngazi za juu .Na kukusanya wapenzi wa ngazi za chini.
Mungu amlinde
 
bado hakuna wakunishawish kumkubali makufuli kwa asilimia kubwa kias hicho.bado nayakumbuka ya jk.najua hii ni mbinu ya ccm ya kutaka kurudisha iman kwa wananch kwakua wanajua wakifanya makosa na wamewadhulum wananch mwaka huu msimu ujao utakua ni anguko lao la nguvu.kwahiyo bado sijadanganyika
 
Ni vile katiba hairuhusu mgombea binafsi lakini Lowassa baada ya kukatwa na ccm asingekwenda ukawa angegombea kama mgombea binafsi.JPM ni mgombea binafsi aliyewahadaa ccm wakadhani na wachache wanadhani ni mwenzao . waafidhina wa CCM mpaka leo wanajuta kupitishwa kwa jina lake.kwenye kampeni alikwepa kutamka neno CCM kwa kadri alivyoweza na sasa anakwepa ilani ya CCM,na wafanyabiashara wa CCM kwa kadri anavyoweza.kama kuna mtu anadhani JPM yuko upande wa CCM unajidanganya.CCM ilikufa siku Lowassa alipokatwa na JK.JPM akijiuzuru leo serikali itakayokuja itafuata nyayo za JK na watangulizi wake kwani huo ndio utamaduni wao

jana alipokuwa anaongea na wafanyabiashara wakubwa alitamka kuwa "hii ni serikali ya john pombe magufuli".hasemi "hii ni serikali ya ccm" kama watangulizi wake.
 
Hii ni serikali ya Magufuli, si serikali ya CCM kama tulivyozoeshwa
 
bado hakuna wakunishawish kumkubali makufuli kwa asilimia kubwa kias hicho.bado nayakumbuka ya jk.najua hii ni mbinu ya ccm ya kutaka kurudisha iman kwa wananch kwakua wanajua wakifanya makosa na wamewadhulum wananch mwaka huu msimu ujao utakua ni anguko lao la nguvu.kwahiyo bado sijadanganyika

tuko pamoja. hii ni danganya toto. kama magu aliingia kwa uchakachiz na wale waliochakachua ndio wapga dili bandarini na tra, je jpm si atazma kama kibatari?hii ni comedy na kama si usanii aguse epa,escrow, tanapa, kagoda na richmond
 
Mtaendelea kuisoma namba .Mlidhani UKAWA hawana akili sio? Vumilieni basi.Huyo ndiye JPM the presidaa
 
Mie mwenyewe sikumpigia kura pombe ila mpaka sasa jamaa kaonyesha kwamba anaweza na yupo serious, kwanza afanye kazi na waziri mkuu tuu hao mawaziri wengine wataleta fitina tuu, ndio utawakuta kina mwigulu na makamba huko wasaka tonge watauharibia.
 
kati ya yote hilo ndio umeona la maana la kupost kuhusu JPM.SMH.

unadhihirisha chuki yako kuu kwa rais wetu mpendwa,kiboko ya wafaidika wa utawala dhaifu wa JK.
 
Last edited by a moderator:
JPM ndio mpango mzima...never let us down....we will support u
 
tuachieni jpm wetu. mbona mnamdandia wakati kura mlimnyima na kumpa fisadi. nyie kazungusheni mikono huku mkipayuka- lowasaa fisadiii, fisadiii lowasaaa.
 
kati ya yote hilo ndio umeona la maana la kupost kuhusu JPM.SMH.

unadhihirisha chuki yako kuu kwa rais wetu mpendwa,kiboko ya wafaidika wa utawala dhaifu wa JK.

Hatukisii:

Last edited by a moderator:
tuko pamoja. hii ni danganya toto. kama magu aliingia kwa uchakachiz na wale waliochakachua ndio wapga dili bandarini na tra, je jpm si atazma kama kibatari?hii ni comedy na kama si usanii aguse epa,escrow, tanapa, kagoda na richmond

Kweli wa tz watu wa matukio. Sasa we kwa akili yako unadhani anaweza akafanya yote hayo kwa cku hizi chache? Kila kitu inabd kifuate utaratibu. Tulia sindano ikuingie.
 
Back
Top Bottom