Magufuli, mgombea binafsi aliyewahadaa CCM?

Magufuli, mgombea binafsi aliyewahadaa CCM?

Ni vile katiba hairuhusu mgombea binafsi lakini Lowassa baada ya kukatwa na CCM asingekwenda UKAWA angegombea kama mgombea binafsi. JPM ni mgombea binafsi aliyewahadaa CCM wakadhani na wachache wanadhani ni mwenzao.

Wahafidhina wa CCM mpaka leo wanajuta kupitishwa kwa jina lake.kwenye kampeni alikwepa kutamka neno CCM kwa kadri alivyoweza na sasa anakwepa ilani ya CCM, na wafanyabiashara wa CCM kwa kadri anavyoweza.

Kama kuna mtu anadhani JPM yuko upande wa CCM unajidanganya. CCM ilikufa siku Lowassa alipokatwa na JK.J PM akijiuzuru leo serikali itakayokuja itafuata nyayo za JK na watangulizi wake kwani huo ndio utamaduni wao.
Hapo tulifurahii JPM kufuta ya JK, Leo tunasema mama Samia afute ya JPM?
 
Back
Top Bottom