Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Mimi huwa ananiboa kwa kuchanganya changanya lugha hata mtoto wa msingi ana nafuu. Wakati mwingine utakuta anazungumzia masuala nyeti ya kitaifa ambapo bibi zetu huko vijijini inabidi waelewe kinachozungumziwa. Nadhani hana watu wa kumshauri au kama wapo wanaogopa kumshauri.
 
Hiv rais wa china anajua hata english kweli?... mi nadhqn hiyo siyo ushu hasa kwa wazalendo...labda kuwe na sababu nyingine.....hasa yenye mashiko
Watu wengi wanafikiri usomi ni kujua lugha ya kigeni hasa Kingereza. Ukikaa ukiwasikiliza wanavyoreason utacheka sana
 
Mkuu post yako umeituma iko very personal.
 
Tunatafuta rais wa tz atakayetuwakilisha kimataifa pia. Magufuli ni zero kabisa. 40% ya bajeti yetu inategemea wenye lugha tofauti na kiswahili
JK alikuwa akisafiri mkamwita Vasco Da Gama,Magufuli hasafiri mnalalamika acheni UNAFIKI wabongo. Hamnaga jema nyie.
 
aisee
 
Sii kweli rais, Magufuli Kiingereza, hakipandi, Kiingereza kinapanda sana, na ushahidi ni hata mechi ya jana ya Taifa Stars, aliangalia kupitia Super Sport, hivyo hoja kuwa Kiingereza hakipandi sio kweli
P
 
Mkuu
Kuangalia kupitia supersport sio Tatizo...

wakat ule nilipokuwa mdogo shule ya msingi watu walikuwa wanaangalia tamthilia itv au star TV za kingereza halafu asubuhi shuleni unakuta wanahadithia balaa wakt Skul yenyew Saint kayumba tulikuwa tunafunfishwa verb kila siku

Kwani haiwezekani kuwa alikuwa anaangalia vitendo tyuuuuuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sii kweli rais, Magufuli Kiingereza, hakipandi, Kiingereza kinapanda sana, na ushahidi ni hata mechi ya jana ya Taifa Stars, aliangalia kupitia Super Sport, hivyo hoja kuwa Kiingereza hakipandi sio kweli
P
Ni kweli kaka Pascal. Huwanajiuliza, hivi changamoto za wa Tanzania ni Kingereza. After all ukimtoa Mkapa, viongozi wote waliobaki kingereza chao ni cha kusoma hotuba iliyochapishwa kwa font waipendayo.

Hao wanaowasifia hebu wawahoji live bila makaratasi mjue kama wanajua kingereza au la! Watu waashe ujinga, yapo mambo makubwa yakujadili sio udaku wa lugha.

Queen Esther
 
Tena wote wanaoamini uzushi huu kuwa lugha ya Kiingezeza ni tatizo, hawaelewi kuwa kuna Kiingezeza cha kuandika na cha kuongea. Mtu aliyefanya thesis yake ya Ph.D kwa Kiingezeza, akai defend kwenye jopo la wasomi, na ikapita, hawezi kuwa hajui Kiingezeza, ila linapokuja suala la Kiingezeza cha kuongea sio hoja, mtu kushindwa kuongea lugha ya watu wengine kwa ufasaha sio issue wala kuongea Kiingezeza kwa intonation ya Kisukuma haina tatizo lolote, nimehudhuria UN GA Kipindi cha Mkapa na JK, maraisi wa nchi zao wanahutubia UN GA kwa lugha zao na hotuba zao zinafasiriwa na wakalimani kwa zile lugha 4 za UN, hivyo ningependa kumsikia Rais Magufuli akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa Lugha ya Kiswahili.
P.
 
Anakijua hata hicho kiswahili basi??? Haaa

Swiss Me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiongee kabisa swala la Ph.D ya huyu kiumbe, nasema ACHAAAA. imewa'kosti' watu humu.
 
Mshauri Leo chief maana upo nae jiran kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello bwana Kitila Mkumbo , jee hizi post zako ukiziona unajisikiaje? hebu tupe uzoefu ili nasi tukiamua 'kuunga mkono juhudi' tujue tutajisikiaje kuwa waongo na wasaliti?
 
Mheshimiwa bado una mtazamo huu juu ya viongozi wenu na weledi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…