Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane


Sunshow

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Messages
1,130
Likes
213
Points
160

Sunshow

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2011
1,130 213 160
Mimi huwa ananiboa kwa kuchanganya changanya lugha hata mtoto wa msingi ana nafuu. Wakati mwingine utakuta anazungumzia masuala nyeti ya kitaifa ambapo bibi zetu huko vijijini inabidi waelewe kinachozungumziwa. Nadhani hana watu wa kumshauri au kama wapo wanaogopa kumshauri.
 

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
1,290
Likes
1,107
Points
280
Age
31

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2012
1,290 1,107 280
Hiv rais wa china anajua hata english kweli?... mi nadhqn hiyo siyo ushu hasa kwa wazalendo...labda kuwe na sababu nyingine.....hasa yenye mashiko
Watu wengi wanafikiri usomi ni kujua lugha ya kigeni hasa Kingereza. Ukikaa ukiwasikiliza wanavyoreason utacheka sana
 

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
1,290
Likes
1,107
Points
280
Age
31

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2012
1,290 1,107 280
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.

Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimataifa na lugha ni tatizo na ndio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa Magufuli huku wakinyendea nafasi kama washuri wake akibahatika kuwa rais kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.

Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko? Natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndugu yetu Magufuli.

==================
Mkuu post yako umeituma iko very personal.
 

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
1,290
Likes
1,107
Points
280
Age
31

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2012
1,290 1,107 280
Tunatafuta rais wa tz atakayetuwakilisha kimataifa pia. Magufuli ni zero kabisa. 40% ya bajeti yetu inategemea wenye lugha tofauti na kiswahili
JK alikuwa akisafiri mkamwita Vasco Da Gama,Magufuli hasafiri mnalalamika acheni UNAFIKI wabongo. Hamnaga jema nyie.
 

Forum statistics

Threads 1,203,883
Members 457,010
Posts 28,133,255