Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya ccm akiwa jukwaani aliongea kingereza ambacho sikukielewa,hebu wataalamu nisaidie "YOU WAS LEADER"
nyie zombies wa chadema you are so disgraceful. sijui hata kama unaelewa elimu aliyonayo magufuli. ni ya uzamivu (Phd) yaani kamaliza madarasa yote. miaka yote amesoma kwa kutumia lugha ya kiingereza. kama wewe si mpbavu sijui ni kitu gani! au ndio mizungu na mbinu za kutegemea usanii na miujiza ya kina gwajima.
 
Hawa jamaa inaonekana wako tayari kulamba miguu ya wazungu. Hawajielewi.
 
Ila ninachojua Lowassa hajui kifaransa,sasa sijui itakuwaje akienda nchi ambayo hawajui kiingereza bali wanajua kifaransa pekee
Hakuna nchi kama hiyo duniani. Ufaransa wenyewe wanaongea kiingereza
 
Alafu eti ni dokta pumbaaaaafu!!!

Hapo hata mimi nashangaa...inawezekana elimu yetu kwa ngazi ya Phd ina shida kubwa, Au Dissertation aliandikiwa, au alipewa bure. Hawezi hata kuelezea ilani za chama chake zilivyofanya kazi na wapi zilikwama na namna alivyojiandaa kukwamua....bora angefundwa na Mama Nghwira
 
Tulishajadili sana kuhusu swala la mgobea wa CCM kutojua kimombo na tukasema ni aibu.

Hata hivyo ili asituaibishe anaposafiri nje kama ataukwaa urais,ni vema akaanza tuition mapema.Sijui hii imekaaje.Mtu mpaka anafika level ya PhD. hajui kingereza?!
hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya ccm akiwa jukwaani aliongea kingereza ambacho sikukielewa,hebu wataalamu nisaidie "YOU WAS LEADER"
 
Hata leo akihutubia kwenye viwanja vya Furahisha Mwanza alichemsha alipokuwa anadai akichaguliwa kuwa rais atahakikisha anaondoa kero za watu kulipia ushuru (sikumbuki ushuru upi lakini unaohusiana na magari), kisha akataja "ushuru wa fire extinguish" akimaanisha "fire extinguisher".
 
Tunachosema ni kwamba kama kashindwa kujifunza hata kingereza up to PhD.level, ina maana hata IQ yake ni ndogo.
Ila ninachojua Lowassa hajui kifaransa,sasa sijui itakuwaje akienda nchi ambayo hawajui kiingereza bali wanajua kifaransa pekee
 
university colombia-badala ya university of colombia -ama colombia university ila alijisukia akarudia -ajitahidi kama diamond maana nilimsikia diamond akiongea sikuamini alijifunza
 
Inaonekana uwezo wake wa kushika lugha ni mdogo sana. Lakinicpia atakuwa na tatizo la msingi la uelewa. Siku hizi ccm wana kigezo kimoja tu kwa mgombea urais: Awe maarufu au kukubslika basi. Vigezo vingine havina nafasi. Tusishangae siku wakamteua diamond kugombea urais. Mediocrity, mediocrity! Aibu kwa Tanzania yangu!
 
Watu wanataka kutetea upuuzi hapa. Mnasema Kiingereza sio lugha yetu, kwani hizo degree alizisoma kwa kiswahili au kisukuma? UDSM masomo ya science yanafundishwa kwa kiingereza tu, na yeye amesoma degree zake zote hapo,kwa hiyo hakuna utetezi kwamba kiingereza sio lugha yetu. Basi hakutakiwa kufaulu, huenda hata thesis aliandikiwa. Yaani mtu usome hadi PhD kwa lugha ya kiingereza halafu uanze kutembea na mkalimani, hiyo ni aibu kubwa kwa mfumo wa elimu wetu!
 
Unajua hapo awali alikuwa anaongea kiingereza fasaha kabisa lakini toka siku ile alipotoka garini kwa kuruka kupitia tundu la paa ya gari alitanguliza kichwa hivyo kikapotea moja kwa moja. Maskini kijana wa watu kumbe ndio maana hata wale wachina aliowakamata kimakosa hakuwaelewa walichokuwa wanamueleza.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom