Sunshow
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,140
- 391
Mimi huwa ananiboa kwa kuchanganya changanya lugha hata mtoto wa msingi ana nafuu. Wakati mwingine utakuta anazungumzia masuala nyeti ya kitaifa ambapo bibi zetu huko vijijini inabidi waelewe kinachozungumziwa. Nadhani hana watu wa kumshauri au kama wapo wanaogopa kumshauri.