Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

Ni colonial mentality tuu inawasumbua kutojua muingeleza sio kigezo kabisa.
Raisi wa china hutwanga kichina jamaa wana tafsiri.
Jivunie lugha yenu.
Kuna watu humu including mtoa post ukawasimamiasha na uyo JPM kwa debate in English ukatoka nock out.
English kwa wengi wetu ni second language na wengi wakiongea watakuwa not comfortable kama kwa kiswahili kwa maraisi wote Ben na Nyerere angalau waliokuwa wanamudu hii lugha
 

Du achene kuteta ujinga jamani! Magu ana phd aliyosomea kwa kiingerza ujue. Tukubali hapa ni aibu! Tusijitie upofu! na inawezekana CCM walipitiwa baada ya Lowasa kuwachanganya wakakosa umakini!
 
jamani huyu mtu naye vp? muulze maswali ya organic chemistry uone! halafu unadhani uraisi ni kujua lugha za nje ?
 
kwa nini raisi wa china anatembea na mkalimani wake? huyo mmasai wako naye? kwanza we mwenyewe michapio kibao!
 
Jamani aibu, nimesikia anaongea kiingereza kama anakata gogo vile duuuu, sijawahi jua kama hajui lugha
 
Huyo mgombea wako hata kiswahili anashindwa anasingizia vipaza sauti!
Nadhani mwenye poor English ni bora kuliko "occasional bubu" when it comes to mtu kuwasiliana maana hata sign language hajajifunza!
 
Dunia hii ya utandawazi na lugha moja ya mawasiliano kiingereza huijui? Tunachukulia urais km uenyekiti wa kijiji!?
 
Samahani Watanzania naomba kuuliza ili nijue.Mh.Joseph mbatia amechomwa kisu?.na nyumba yake kuchomwa moto?. Naomba alie na taalifa sahihi anijulishe ahsanteni sana WaTZ.
 
Mi ndo maana naona elimu ya kikanjanja tanzania itaendelea kutuletea makanjanja wengi kuongoza nchi. Ni aibu .nashauri taifa la hofu, tusiogope... Tufanye mabadiliko. Maamuzi magumu mwaka huu. Nadhani itakua suluhisho.
Kujua kiingereza ndio kuwa na akili huyu jamaa ni genius! Kama huelewi uliza wanafunzi wanaochukuliwa kwenda seminary (RC) huwa wanachukuliwa wa level gani! Ukijua tu ndo utaelewa sasa IQ ya Magufuli!
 
Mi ndo maana naona elimu ya kikanjanja tanzania itaendelea kutuletea makanjanja wengi kuongoza nchi. Ni aibu .nashauri taifa la hofu, tusiogope... Tufanye mabadiliko. Maamuzi magumu mwaka huu. Nadhani itakua suluhisho.
Kujua kiingereza ndio kuwa na akili huyu jamaa ni genius! Kama huelewi uliza wanafunzi wanaochukuliwa kwenda seminary (RC) huwa wanachukuliwa wa level gani! Ukijua tu ndo utaelewa sasa IQ ya Magufuli! Endapo sifa ya kuwa Rais ni kujua Kiingereza basi tungetafuta Prof. Wa kiingereza kutoka vyuo vya elimu ya juu! Vigezo alivyonavyo magufuli vinatosha kwani tunataka Rais wa Tanzania anayejua changamoto za Tanzania, Madhubuti, Muadilifu, Anajua kuthubutu, Mbunifu na Si Rais wa Uiengereza ambaye lazima ajue kiingereza. By the way Nimemsikiliza Magufuli naomba tutofautishe lafundhi na kutojua kiingereza ni vitu viwili tofauti!
 
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Taifa lina BAHATI mbaya sana hili.

- Even smart people now bend to embaciles to survive !
 
Yan mimi huyu mtu mpaka leo nawaza aliwezaje kupenya hadi Ikulu sipati jibu, siyo kwa ukilaza huu alio nao aisee kah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…