Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,204
- 34,119
Umeambiwa Tz inatafuta mwl wa English medium au rais?
Uijitoe ufahamu wewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa Tz inatafuta mwl wa English medium au rais?
mwacheni pombe aingie Ikulu achape kazi hagombei uwaziri wa Mambo ya nje mbona Rais wa China hajui kingereza. Hapa kazi tu
Ni colonial mentality tuu inawasumbua kutojua muingeleza sio kigezo kabisa.
Raisi wa china hutwanga kichina jamaa wana tafsiri.
Jivunie lugha yenu.
Kuna watu humu including mtoa post ukawasimamiasha na uyo JPM kwa debate in English ukatoka nock out.
English kwa wengi wetu ni second language na wengi wakiongea watakuwa not comfortable kama kwa kiswahili kwa maraisi wote Ben na Nyerere angalau waliokuwa wanamudu hii lugha
Huyo mgombea wako hata kiswahili anashindwa anasingizia vipaza sauti!Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimataifa na lugha ni tatizo na ndio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa Magufuli huku wakinyendea nafasi kama washuri wake akibahatika kuwa rais kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.
Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko? Natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndugu yetu Magufuli.
==================
Kujua kiingereza ndio kuwa na akili huyu jamaa ni genius! Kama huelewi uliza wanafunzi wanaochukuliwa kwenda seminary (RC) huwa wanachukuliwa wa level gani! Ukijua tu ndo utaelewa sasa IQ ya Magufuli!Mi ndo maana naona elimu ya kikanjanja tanzania itaendelea kutuletea makanjanja wengi kuongoza nchi. Ni aibu .nashauri taifa la hofu, tusiogope... Tufanye mabadiliko. Maamuzi magumu mwaka huu. Nadhani itakua suluhisho.
Kujua kiingereza ndio kuwa na akili huyu jamaa ni genius! Kama huelewi uliza wanafunzi wanaochukuliwa kwenda seminary (RC) huwa wanachukuliwa wa level gani! Ukijua tu ndo utaelewa sasa IQ ya Magufuli! Endapo sifa ya kuwa Rais ni kujua Kiingereza basi tungetafuta Prof. Wa kiingereza kutoka vyuo vya elimu ya juu! Vigezo alivyonavyo magufuli vinatosha kwani tunataka Rais wa Tanzania anayejua changamoto za Tanzania, Madhubuti, Muadilifu, Anajua kuthubutu, Mbunifu na Si Rais wa Uiengereza ambaye lazima ajue kiingereza. By the way Nimemsikiliza Magufuli naomba tutofautishe lafundhi na kutojua kiingereza ni vitu viwili tofauti!Mi ndo maana naona elimu ya kikanjanja tanzania itaendelea kutuletea makanjanja wengi kuongoza nchi. Ni aibu .nashauri taifa la hofu, tusiogope... Tufanye mabadiliko. Maamuzi magumu mwaka huu. Nadhani itakua suluhisho.
Taifa lina BAHATI mbaya sana hili.Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Aibu tunayovuna HAIMITHILIKIKama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Kitila Mkumbo Salary Slip okw boban sunz Mwanahabari Huru jingalao MolembeKama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Leo kageuka kisa kapewa cheo.
Yan mimi huyu mtu mpaka leo nawaza aliwezaje kupenya hadi Ikulu sipati jibu, siyo kwa ukilaza huu alio nao aisee kah!Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
Hiyo ilitokana na kushindwa ngeli na kubaki kukariri tu.Upungufu huu wa exposure kimataifa na lugha ni tatizo na ndio maana watu wasio na uwezo kama akina Makamba wanajitia kimbelembele kama wapiga zomari kwa Magufuli huku wakinyendea nafasi kama washuri wake akibahatika kuwa rais kama shetani atabariki.Mungu yupo upande wa Legwanani the Great.
Hivi kama alikuwa mwalimu alifundisahaje huko? Natafuta wanafunzi wake angalau nipate expreience ya huyu ndugu yetu Magufuli.
==================
Huyu sasa ni Kitila Mtumbo!