Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

umenena vyema mkuu japo humu hawawezi kukuelewa coz bado wanafanya kampeni hawa. Sasa hivi riba nmb ni 22% hapo si unataka kifo cha wazawa ukizingatia umeshatoa 15% ya bodi ya mikopo na hujawapa annual increament wala hujawapandisha madaraja hata huko bank watakopesheka kweli?

Asilimia 22 ni kubwa sana, hapo lazima biashara ife unless otherwise Uwe na biashara yenye faida kubwa sana. Hizo riba angalau zingekua 7-8 %• biashara nyingi faida yake ipo kwenye 10% ukishatoa kila kitu
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.
Kudos JPM... Tunaomba uwe Rais wa Maisha ...
 
The problem ni kwamba HAKUNA benki hata moja nchi itakayotoa mkopo kwa mzawa simply because Rais kasema! Hata Rais mwenyewe anafahamu vizuri sana kwamba hakuna benki itakayotoa mkopo kwa mzawa kwa sababu yeye kasema!

Kinyume chake, kauli ya JPM ni ya kisiasa zaidi kwa sababu, nje ya siasa; hiyo kauli haina nguvu zozote!!!

Atakayepewa mkopo ni yule tu ambae amekidhi vigezo... na huyu atapewa tu hata rais asiposema kwa sababu hiyo ndiyo biashara kuu ya mabenki ya biashara!!!

Mungu akupe maisha marefu Ayo nimatamko ya kisiasa
 
Mkuu CRDB ni mkopeshaji, changamoto ni mzawa aweze kukopa na afaidike.
Nashukuru hujaelewa wala kukumbuka.Watanzania wenye dili fulani km zenu huwa hawana kumbukumbu sana au uwezo wa kuunganisha matukio bila kuvunja muunganiko.

Ungeunganisha kichwani ungeelewa. Mkopeshaji mzawa,kwanini mliondoa hela na sio kuacha hela ili muwe partners katika kuwezesha wananchi?Hata akiwa mkopeshaji,bila bank mnadhani mtawawezeshaje wananchi kwa namna mnayosema?Wananchi wana account hazina au BOT?
 
Haya matamshi ni dhambi juu ya dhambi.Wanatumia dhambi kufunika dhambi waliyoianzisha ktk move hovyo ya kuharamisha FIXED DEPOSIT ili wawafikie mabenk na kuwanyang`anya hela
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.
ati dili nzuri ya kisiasa?
unamchokoza mkulu wakati kasema hataki wapiga dili?
 
Nashukuru hujaelewa wala kukumbuka.Watanzania wenye dili fulani km zenu huwa hawana kumbukumbu sana au uwezo wa kuunganisha matukio bila kuvunja muunganiko.

Ungeunganisha kichwani ungeelewa. Mkopeshaji mzawa,kwanini mliondoa hela na sio kuacha hela ili muwe partners katika kuwezesha wananchi?Hata akiwa mkopeshaji,bila bank mnadhani mtawawezeshaje wananchi kwa namna mnayosema?Wananchi wana account hazina au BOT?
Umeingia mtego wa kumtetea yule wa kwenu pale CRDB.
Wenzake TIB, Equity,KCB, wanakopesha tena kwa sana tu.

Tatizo lako ni kufikiri dili ni endelevu,
 
Tatizo lako ukisha kunywa vi.roba basi unapoteza kumbukumbu zote.
ULIDHANI JF NI MTANDAO WA UVCCM.
Pu.,mba.,fu sana haujaladhimishwa kuingia JF. Ukiona hauna cha maana kuwa SHO....GA
Mada na kinachoongelewa hujui wala huna akili za kutosha kuzijibu kama mtu aliyeenda shule.
Kutukana kila mjinga wa uchochoroni anaweza.
Chagua mahali pa kukufaa.
Kwa heshima yangu sitakujibu maana wahenga walisema " do not argue with a fool, he will beat you with experience"
Nimekunyooshea mikono!
 
Umeingia mtego wa kumtetea yule wa kwenu pale CRDB.
Wenzake TIB, Equity,KCB, wanakopesha tena kwa sana tu.

Tatizo lako ni kufikiri dili ni endelevu,
Nani kakuambia dili si endelevu?Hata hujui unaongea nini ila unataka na wewe uonekane unajua ili ule bk 7.Dili ambazo sio endelevu ni za kijinga kama mnazofanya za kukimbizana na vivuli vya wakaskazini. Hamtokaa muwashike wao wala vivuli. Dili inaweza kuwa endelevu isiwe endelevu.

KCB wanaweza kwa vile business TIB ni ya serikali haikukumbwa,KCB na Equity ni bank zeye mikono ya serikali ya kenya na zinazungusha na kusaidia wakenya kurudisha hela kwao.Wanazungusha hela kutoka kenya.
 
Cheki ownership ya CRDB ujiridhishe na uwepo wa taasisi za umma na Shirika la misaada la Denmark.
Watu wakishindwa kazi hawakosi sababu zisizo na mashiko.
 
Yaani tuna safari ndefu anataka watanzania wakope ndo baadae mabenki yawanyanganye mashamba na nyumbani maana kukopa sio issue kurudisha ndo issue na kwa interest hii ilivyo juu ndo majanga kabisa.
 
Cheki ownership ya CRDB ujiridhishe na uwepo wa taasisi za umma na Shirika la misaada la Denmark.
Watu wakishindwa kazi hawakosi sababu zisizo na mashiko.
Unaniudhi kitu,baada ya kushindwa kimoja huwa hupendi kukiri kwamba umekubalina nacho ndipo uende kingine.Kuonyesha ulivyo hopeless.

Kwani NMB mnayosema ni ya serikali haina hela ya waholanz? CRDB ingekuwa ya serikali kazi ingekuwa rahisi sana,mngemtumbua KIMEI. Bank ya raia ,chini ya kiongozi makini na chapa kazi,mkishaona mafanikio huwa akili zenu hazipendi kukubali ni uwezo,lazima mseme ni wizi,mseme ni dili,n a ujinga mwingine, pengine mngependa muweke mkurugenzi hata kama hamna sifa kwa kadiri ya muundo wa CRDB. Kwa akili zenu mnatamani sana hata IPP mengi atoke.

Bahati mbaya sana CRDB ndio bank pekee ya ndani iliyokuwa imevutia hadi mashirika ya serikali kwa uwezo na huduma ndio maana ikawa na hela zao nyingi.Serikali kuondoa hela ghafla CDrB ndio ingeumia kwa vile ndio ilikuwa na wateja wengi walio wa serikali. Sasa hao wengine wasio na hela nyingi za serikali na matawi ya ku beep unataka wafananisha vipi?
 
Wewe

Unaongea kwa niaba ya nani , na mimi kwa akili zako wewe unafikiri mimi nani?
Tuanzie hapo.
Unaonekana kama we mtu wa makundi ya wao na sisi.
Mabenki ya kwao na sisi!
Chama cha kwao na sisi!
Maendeleo ya kwao na sisi!
 
Unaemsifia alisema barabara ya daraja la kigamboni ingeanza kutengenezwa kwa kiwango cha lami May mwaka jana lakini mpaka leo hakuna kitu......
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.
"magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa" mkuu taratibu na vigezo vya kukopa unavijua na ulishawahi kukopa? usijibu kimhemko tafadhali, ukijibu tutaendelea kujadili.
 
Back
Top Bottom