Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

Mkuu hulazimishwi kwenda benki, kukopa na kujiendeleza.
Popote ulipo, ukiridhika na umasikini wako, RUKSA!
Ingekuwa hivyo asinge wanyama pesa zao wazawa Matajiri wanaoidai serikali.Ukishaona kopa kama.Mkandarasi unaenda kufanya Kai gani wakati mikataba yote inafanya na taasisi za serikali tu??Kama alikuwa ana nia hiyo kwanini kudhoofisha bank zenye shares za serikali na wazawa.Kaka yangu mpaka hapo kama umemuamini JPM.labda sababu wewe ni kada lazima usifie
 
Milioni 50 hakuna ndiyo sababu anataka mkakope

mnyonge gani huyo unayemzungumzia? -Kodi na vat vyiko juu -No increment na hakuna kupandishwa
madaraja? -HELSB 15% kaa kimyaaa MTETEZI GANI WA WANYONGE UNAFANYA UHAKIKI
USIOISHA ILI USIWAPE WATU STAHIKI ZAO. ACHENI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA KUPITIA WATU
WANYONGE NA MASKINI. Oh! Nasimamisha ajira ndan ya mwez 1 na nusu
haitazid 2 mpaka leo. Mtetezi unasimamisha
ajira? Achen ujinga kbsa KWANN ASIPUNGUZE RIBA KM MTETEZI WA
WANYONGE? MILION 50 KILA KIJIJI IMEISHIA WAPI?
Mi
 
Milioni 50 hakuna ndiyo sababu anataka mkakope

Mi
Huu ni ujinga wa kiwango cha PHD.Hizo bank zilikuwa hazipo? Hajatetea mtu hapo.
MJINGA ATASEMA AMETETEA WANYONGE LKN MWENYE AKILI ANGESEMA APUNGUZE RIBA NA MASHARITI ILI WATU WAKOPE.
NDIYO MAANA WALIWEKA DVN 5
ZAMANI WATU WALIKUWA WANAKOPA WAPI?
 
Hii Sera ya wazawa iko kwennye ilani yenu?

Achni nyimbo za kuhamashisha ubaguzi ambazo hazina tija wala mikakati. Maneno bila mipango ni hovyo tu!
Inaelekea una tatizo la akili.
Wakati hata Ulaya , hususan Uingereza na Brexit, waalilia uzawa na kuwatimua wahamiaji, wewe unasema ubaguzi kuwatetea wazawa.
Watanzania mmelaaniwaje?
 
mnyonge gani huyo unayemzungumzia?
-Kodi na vat vyiko juu
-No increment na hakuna kupandishwa madaraja?
-HELSB 15% kaa kimyaaa

MTETEZI GANI WA WANYONGE UNAFANYA UHAKIKI USIOISHA ILI USIWAPE WATU STAHIKI ZAO.
ACHENI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA KUPITIA WATU WANYONGE NA MASKINI.
Oh! Nasimamisha ajira ndan ya mwez 1 na nusu haitazid 2 mpaka leo. Mtetezi unasimamisha ajira? Achen ujinga kbsa
KWANN ASIPUNGUZE RIBA KM MTETEZI WA WANYONGE? MILION 50 KILA KIJIJI IMEISHIA WAPI?
Mkuu hakuna kitu cha bure, siku hizi kusoma ni hela yako.
Ukikopa lipa,
Full stop.
Usipotaka kero lipia masomo kwa hela ya mzazi wako.
 
Siwezi kuwa maskini kama wewe nipo safi kiuchumi n kiakili pia ndio maana wazawa wa chato ndio mkakope uko maana ukiangalia ndio maskini sn uko
Wewe ni wale wale tu. Watanzania ambao asilimia 85 ya maongezi yao ni lawama na kunyooshea wengine vidole.

Matokeo ya ujuaji wenu ni umasikini wenu. Unaweza kuwa upo vizuri kifedha lakini moyo wako ni wa kimasikini sana.

Una ukoma wa rohoni na moyoni, ambao hauponi kwa kutumia dawa za kuutibu ukoma wa mikononi na miguuni.
 
Sisi watu wa Chato tumechoka kila mtaa ni shamra shamra hatufanyikazi za kila siku kisa MTU mmoja hivi....
Ahadi kibao
 
Mkuu hakuna kitu cha bure, siku hizi kusoma ni hela yako.
Ukikopa lipa,
Full stop.
Usipotaka kero lipia masomo kwa hela ya mzazi wako.
Km hakuna kitu cha bure, aliongea ili aweje? Kwan zaman watu waliishije? MUACHE UJINGA NA MTUKUFU WAKO.
ALISEMA KILA MTU ABEBE MSALABA WAKE NA LEO ANAONGEA MANN? YY NDIYO ANAWALISHA HAO WATU? ALISEMA SERIKALI HAITOI CHAKULA CHA MSAADA NA HAINA SHAMBA. LEO VP?
KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE. ASITAFUTE SIFA KUPITIA KWA WANYONGE NA MASKINI
 
Wewe ni wale wale tu. Watanzania ambao asilimia 85 ya maongezi yao ni lawama na kunyooshea wengine vidole.

Matokeo ya ujuaji wenu ni umasikini wenu. Unaweza kuwa upo vizuri kifedha lakini moyo wako ni wa kimasikini sana.

Una ukoma wa rohoni na moyoni, ambao hauponi kwa kutumia dawa za kuutibu ukoma wa mikononi na miguuni.
Mteteni huyo Mtetezi wenu ambaye hana vision kuwa nchi inahitaji nini kwasasa kabaki kulalamika wakati ana kila kitu hivi zamani watu walikuwa hawakopi? Toka riba ikiwa 17,18 n sasa ni 22%puuzi ww unakopeshwa kwa vigezo sio porojo za lumumba au chato
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.
Machi 13, 1995 Mwalimu Nyerere alizungumza na waandishi wa habari wa Dar es Salaam na kukemea vikali tabia ya ubaguzi na akasema: “Makaburu wa Tanzania ni wale wanaojiita wazawa.

“Wazungu wa Afrika Kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao. Tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao. Kama una mawazo yaleyale ya kaburu wa Afrika Kusini, wewe ni kaburu tu, ila tofauti yako ni kwamba wewe ni mweusi, lakini ni kaburu tu.”
 
TANZANIA BADO SANA, KUNA WAJINGA WENGI SANA WENGINE MPAKA WANA PHD.
MBONA MNATAFUTA SIFA ZA KIJINGA KUPITIA WATU MASKINI NA WANYONGE?
MTOA UZI UNA AKILI TIMAMU KWELI? NAFIKIRI ULIPIGA VIROBA NDIYO UKAANDIKA HII POST. WATU WAMEANZA KUKOPA BANK HATA KABLA HAJAZALIWA LEO ANASEMA WATU WAKOPE ETI ANATETEA WANYONGE. Pu.mba.fu sana
Unapofika bank masharti na riba kibao, mpaka uwe na mali zisizohamishika.
ANGESEMA ATATUPUNGUZA RIBA NA MASHARTI HAPO NINGEMWELEWA.
HIV VYEO VINATAFUTWA MPAKA UNAWAONEA WATU HURUMA, WENGINE HATA HAWAJIFIKIRI WANAKURUPUKA TU KM BENDERA FUATA UPEPO.
INASIKITISHA SANA. POLE SANA MTOA UZI
We inaelekea ni wale waliosoma kwa kuunga unga na una karatasi tu la kuonyesha uipo fikia lakini elimu haija kusaidia.
Kwa akili uliyonayo, fanya utafiti wako na utueleze hapa mtandaoni wapi wajasiriamali wakakope bila riba na bila collateral.
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.
Chato international airport
 
Mteteni huyo Mtetezi wenu ambaye hana vision kuwa nchi inahitaji nini kwasasa kabaki kulalamika wakati ana kila kitu hivi zamani watu walikuwa hawakopi? Toka riba ikiwa 17,18 n sasa ni 22%puuzi ww unakopeshwa kwa vigezo sio porojo za lumumba au chato
We tajiri mwenye roho ya korosho!
Inaelekea hata elimu haijakusaidia vile vile!
 
We tajiri mwenye roho ya korosho!
Inaelekea hata elimu haijakusaidia vile vile!
Sijasoma kuyumba, sijasomeshwa n serikali n mwisho kbs ELIMU yangu haina ukakasi wa ufeki km PHD zenu za magumashi ndio raha ya kusoma abroad maana unapata exposure kubwa sn sasa ni ngumu kwangu kudanganywa n mtu asiyekuwa n uwelekeo
 
Machi 13, 1995 Mwalimu Nyerere alizungumza na waandishi wa habari wa Dar es Salaam na kukemea vikali tabia ya ubaguzi na akasema: “Makaburu wa Tanzania ni wale wanaojiita wazawa.

“Wazungu wa Afrika Kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao. Tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao. Kama una mawazo yaleyale ya kaburu wa Afrika Kusini, wewe ni kaburu tu, ila tofauti yako ni kwamba wewe ni mweusi, lakini ni kaburu tu.”
Acha kufikiri mambo ya kufikirika na yasiyo tekelezeka.
Enzi za Mwalimu vitu vingi vilikuwa vya kufikirika tu na ndio maana hataujamaa ulikufa.
Nenda leo kaaanzishe biashara Uchina, India au Uingereza na Marekani, kama utaruhusiwa hata kuingiza sindano ya kuuza!
Trump leo anawafukuza majirani zake wa Mexico sababu ya uzawa wa kibiashara na maisha , mambumbumbu nyie mnafikiri its fair game kumkaribisha every Tom, Dick and Harry!
Mko dunia gani?

Mna mawazo ya kishamba sana!!
 
Inaelekea una tatizo la akili.
Wakati hata Ulaya , hususan Uingereza na Brexit, waalilia uzawa na kuwatimua wahamiaji, wewe unasema ubaguzi kuwatetea wazawa.
Watanzania mmelaaniwaje?

Anything without organization is creation of chaos!. Hatuhitaji kutengeneza unrest environment kwa kudandia na kudakadaka mambo bila mpango wala malengo. Pumbaue ni wewe usiyejua lolote zaidi ya kusika ulaya wamefanya nini unadakika bila kujua hawafanyi kitu bila ramani kamili.

Wanatimuliwa wahamiaji haramu siyo wahamiaji halali. Wewe ni puumbavu unayedakia agenda bila kkuelewa.

Kama hujui tofauti ya indigenous na citizens uliza . Pumbavue wewe ndiy huna kichwa una bichwa boga.
 
mtu unafurahia kukopa? vipi kuirudisha unafikiria?
 
Back
Top Bottom