masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.
Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".
Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.
Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.
Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.