Makufuli = Magufuli
Akili zingine sijui ni akili za binadamu gani nani kakwambia kuwa ukubwa barabara ndiyo unaondoa ajali kama umewahi kuendesha gari unaweza kutueleza kwa kina kwa vipi ukubwa wa barabara unaweza kupunguza ajali.
Nimekubedha sana kwa hiki ulichoandika ungeweza kushauli nyongeza au upanuzi wa barabara kwa mtazamo wa kupunguza msongamano wa magari na siyo eti kuondoa foleni make ajali zinatokea kila mkoa ambako gali zenyewe inapita moja baada ya saa moja ndipo ipite nyingine lakini mizinga kila kukicha lakini wewe kwakuwa hujui mambo unaongozwa na mihemuko ya kisiasa na chuki kwa magufuli umekwenda kumdandia magufuli aibu kweli hii.
Mleta mada, nijuavyo, Magufuli amesema kuna mpango wa kujenga barabara kubwa ya njia sita, Dar - Morogoro kwa mpango wa barabara ya toll na wawekezaji.
Yote sawa lakini maamuzi yetu yamekuwa ya kukulupuka ambapo mwisho wa siku mipango inakuwa vichekesho.Hivi kweli wakati wa sasa kuondoa kero Jijini Dsm ni kujenga barabara kutoka Kimara hadi kivukoni kwa stahili hiyo. Moja vituo kama maghara kama havingekuwepo naamini kulikuwa na uwezekano wa kujenga barabara ya njia sita.Tatizo la foleni halitaisha kwa sababu mkondo wa barabara ni finyu na kama gari ya mbele ikiharibika ina maana hawatapishana.Pili mfumo wa vituo/maghala ni lazima magari yenye ghorofa ndio yatumike ina maana bila hivyo magari tuliyozoea hayatafaa. Hii ina maanisha tunafunga ndoa ya kudumu na wachina ambao wanaunda mabasi hayo.Hata kama ni msaada lazima tuwe na misaada yenye tija kwa sababu Benki ya Dunia hata km wametoa Msaada tutaulipa kwa njia nyingine.Msongamano Dsm unaweza kupungua ikiwa serikali na mamlaka nyingine zikijenga barabara za michepuko zilizo imara.Wakati wakiangazi barabara hizo zinakarabatiwa lkn masika zinabomoka,Wazalendo makandarasi tumefeli sanaWewe nawe kwa ubishi!Ina maana hujui kwamba uwembamba wa barabara zetu zinachangia kwa kiasi kikubwa kutokea ajali za magari hapa nchini?Hata mtoto wa darasa la pili analijua hilo.Nyinyi ndiyo mnaoamini kuwa mkijenga barabara za juu eti msongamano wa magari utapungua Dar jambo ambao siyo kweli hata kidogo.Jaribuni kufikirisha akili zenu kidogo siyo mnalala lala tu shwaini nyie!!!
Hizo ni hadithi zile za sungura na panya. Utamu kolea.Mleta mada, nijuavyo, Magufuli amesema kuna mpango wa kujenga barabara kubwa ya njia sita, Dar - Morogoro kwa mpango wa barabara ya toll na wawekezaji.
Yote sawa lakini maamuzi yetu yamekuwa ya kukulupuka ambapo mwisho wa siku mipango inakuwa vichekesho.Hivi kweli wakati wa sasa kuondoa kero Jijini Dsm ni kujenga barabara kutoka Kimara hadi kivukoni kwa stahili hiyo. Moja vituo kama maghara kama havingekuwepo naamini kulikuwa na uwezekano wa kujenga barabara ya njia sita.Tatizo la foleni halitaisha kwa sababu mkondo wa barabara ni finyu na kama gari ya mbele ikiharibika ina maana hawatapishana.Pili mfumo wa vituo/maghala ni lazima magari yenye ghorofa ndio yatumike ina maana bila hivyo magari tuliyozoea hayatafaa. Hii ina maanisha tunafunga ndoa ya kudumu na wachina ambao wanaunda mabasi hayo.Hata kama ni msaada lazima tuwe na misaada yenye tija kwa sababu Benki ya Dunia hata km wametoa Msaada tutaulipa kwa njia nyingine.Msongamano Dsm unaweza kupungua ikiwa serikali na mamlaka nyingine zikijenga barabara za michepuko zilizo imara.Wakati wakiangazi barabara hizo zinakarabatiwa lkn masika zinabomoka,Wazalendo makandarasi tumefeli sana
Hata upana wa barabara unasaidia kupungua ajali, na kuondoa foleni pia acha kushutumumu wenzio hawajui wakati ndio unaonekana kutokujua zaidiAkili zingine sijui ni akili za binadamu gani nani kakwambia kuwa ukubwa barabara ndiyo unaondoa ajali kama umewahi kuendesha gari unaweza kutueleza kwa kina kwa vipi ukubwa wa barabara unaweza kupunguza ajali.
Nimekubedha sana kwa hiki ulichoandika ungeweza kushauli nyongeza au upanuzi wa barabara kwa mtazamo wa kupunguza msongamano wa magari na siyo eti kuondoa foleni make ajali zinatokea kila mkoa ambako gali zenyewe inapita moja baada ya saa moja ndipo ipite nyingine lakini mizinga kila kukicha lakini wewe kwakuwa hujui mambo unaongozwa na mihemuko ya kisiasa na chuki kwa magufuli umekwenda kumdandia magufuli aibu kweli hii.
Akili zingine sijui ni akili za binadamu gani nani kakwambia kuwa ukubwa barabara ndiyo unaondoa ajali kama umewahi kuendesha gari unaweza kutueleza kwa kina kwa vipi ukubwa wa barabara unaweza kupunguza ajali.
Nimekubedha sana kwa hiki ulichoandika ungeweza kushauli nyongeza au upanuzi wa barabara kwa mtazamo wa kupunguza msongamano wa magari na siyo eti kuondoa foleni make ajali zinatokea kila mkoa ambako gali zenyewe inapita moja baada ya saa moja ndipo ipite nyingine lakini mizinga kila kukicha lakini wewe kwakuwa hujui mambo unaongozwa na mihemuko ya kisiasa na chuki kwa magufuli umekwenda kumdandia magufuli aibu kweli hii.
aisee huyu mwandishi sijui ni kabila gani maana
magufuli anaita makufuli
mheshimiwa anasema mweshimiwa
unapoandika post tulia usiwe kama unakimbizwa
Akili zingine sijui ni akili za binadamu gani nani kakwambia kuwa ukubwa barabara ndiyo unaondoa ajali kama umewahi kuendesha gari unaweza kutueleza kwa kina kwa vipi ukubwa wa barabara unaweza kupunguza ajali.
Nimekubedha sana kwa hiki ulichoandika ungeweza kushauli nyongeza au upanuzi wa barabara kwa mtazamo wa kupunguza msongamano wa magari na siyo eti kuondoa foleni make ajali zinatokea kila mkoa ambako gali zenyewe inapita moja baada ya saa moja ndipo ipite nyingine lakini mizinga kila kukicha lakini wewe kwakuwa hujui mambo unaongozwa na mihemuko ya kisiasa na chuki kwa magufuli umekwenda kumdandia magufuli aibu kweli hii.
Wachaaa!!!division 5!!