Ye mwenyewe fisadi yumba za serikali vivuko feki barabara feki.
we na mwakyembe mnainamishwaHatimaye Dr Magufuli, mgombea urais CCM, leo anatarajia kutaja mafisadi mbalimbali wanaokwamisha maendeleo ya wanainchi katika mkutano wake wa kampeni mjini Mbeya katika uwanja wa Sokoine.
Hata hivo anatazamia kuweka wazi mikakati na hatua mbalimbali atakazochukua dhidi ya wahusika katika uongozi wake.
Dr Magufuli ataambatana na majembe wenzake hususani, Fildi Marshal Mwigulu Nchema na Dkt. Harrison Mwakyembe.
Ambapo Mwakyembe aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya RICHMOND ataueleza umma namna Lowasa alivyoipatia serikali hasara kupitia dili lake la RICHMOND.
Mkutano huu utarushwa live Star Tv, Azam Tv na TBC1 Kuanzia saa na 8-12 leo.
Usikose.
HAPA NI KAZI TU; UMOJA NI USHINDI
Ajitaje na yeye nyumba za serikali halizowauzia mashemeji zake.
swissme
Andrew Chenge
Prof. Tibaijuka
William Ngeleja
Prof. Muhongo
mgao stanbick
Atamtaja Mkapa? Si unafiki huu kwani atatukanwa kila matusi!
Atamtaja Kikwete na Ridhiwani?! Si uongo huu kwani ataondolewa kesho tu kugommbea ili awekwe Membe kwa kisingizio kawa bubu so hawezi kufanya kampeni kumbe ni moyo!
Atajitaja Magufuli mwenyewe kwa kugawa nyumba za serikali nchi nzima?! Atajitaja Mwenyewe kwa wizi wake Wizara ya Ujenzi?!
Atamtaja nani kama sio unafiki tu upuuzi wa kina Makongoro wa kusema Gongo oyee na zipu oyeee?!
Au ndio gia ya kuhadaa watu ili waende uwanjani?!
Hatimaye Dr Magufuli, mgombea urais CCM, leo anatarajia kutaja mafisadi mbalimbali wanaokwamisha maendeleo ya wanainchi katika mkutano wake wa kampeni mjini Mbeya katika uwanja wa Sokoine.
Hata hivo anatazamia kuweka wazi mikakati na hatua mbalimbali atakazochukua dhidi ya wahusika katika uongozi wake.
Dr Magufuli ataambatana na majembe wenzake hususani, Fildi Marshal Mwigulu Nchema na Dkt. Harrison Mwakyembe.
Ambapo Mwakyembe aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya RICHMOND ataueleza umma namna Lowasa alivyoipatia serikali hasara kupitia dili lake la RICHMOND.
Mkutano huu utarushwa live Star Tv, Azam Tv na TBC1 Kuanzia saa na 8-12 leo.
Usikose.
HAPA NI KAZI TU; UMOJA NI USHINDI
leo ni leo wahusika kutajwa.