Magufuli kutaja mafisadi leo mjini Mbeya

Asisahau kusema ile 230 Billion iliyopotea kwenye wizara yake ya ujenzi kadili ya ripoti ya CAG ilipotea katika mazingira yapi!!!!!
 
Mi Mwanaccm Lakini Naona Hapa Kama Kuna Makosa..Haiwezekani Mwenzako Anazindua Kampeni Zake Na Ni Siku Ambayo Tz Nzima Inahtaji Kusikia Ya Upande Wa Pili Afu Wewe Ukamiliki Matangazo Ya Tv Tena Tv Mojawapo Ikiwa Ya Taifa..Hii Haijakaa Vyema,ila Simaanish Kuwa Ccm Wamefanya Hujuma Au Vyombo Hvo Vinaitumikia Ccm Lakini Lipo Tatizo Hapa Leo Ilitakiwa Iwe Siku Ya Ukawa Tu Kama Ilivokua Ya Ccm Trh 23....!!
#hapakazitu #umojaniushindi

Nakuunga mkono mkuu..ila kuna tatizo moja hapo..na ninauhakika macho na masikio ya watz wengi wataelekeza jangwani..sidhani kama vituo vitakavyorusha matangazo ya ccm mbeya yatapata watu wa kuangalia..am sure of that!
 
Hatimaye Dr Magufuli, mgombea urais CCM, leo anatarajia kutaja mafisadi mbalimbali wanaokwamisha maendeleo ya wanainchi katika mkutano wake wa kampeni mjini Mbeya katika uwanja wa Sokoine.

Hata hivo anatazamia kuweka wazi mikakati na hatua mbalimbali atakazochukua dhidi ya wahusika katika uongozi wake.

Dr Magufuli ataambatana na majembe wenzake hususani, Fildi Marshal Mwigulu Nchema na Dkt. Harrison Mwakyembe.

Ambapo Mwakyembe aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya RICHMOND ataueleza umma namna Lowasa alivyoipatia serikali hasara kupitia dili lake la RICHMOND.

Mkutano huu utarushwa live Star Tv, Azam Tv na TBC1 Kuanzia saa na 8-12 leo.
Usikose.

HAPA NI KAZI TU; UMOJA NI USHINDI

hiyo jeuri na uthubutu atautoa wapi?
 
Asikisahau kukitaja chama chake maana ndiyo chaka lililoficha majizi . mtu ambae anajijua ni mchafu lazima abakie ccm ili waendelee kumfichia maovu yake. lakini ukijua uko safi lazima utoke sababu ccm ukitoka kwao unakua adui . lowasa ni msafi ndiyo maana kajiengua na hakuna wakumsumbua .

Mkuu uko sahihi kabisa majizi lazima yatafute mwanvuli ili yasiguswa na watawala na yanakaa kimya kama huku yakiugulia maumivu
 
Hatimaye Dr Magufuli, mgombea urais CCM, leo anatarajia kutaja mafisadi mbalimbali wanaokwamisha maendeleo ya wanainchi katika mkutano wake wa kampeni mjini Mbeya katika uwanja wa Sokoine.

Hata hivo anatazamia kuweka wazi mikakati na hatua mbalimbali atakazochukua dhidi ya wahusika katika uongozi wake.

Dr Magufuli ataambatana na majembe wenzake hususani, Fildi Marshal Mwigulu Nchema na Dkt. Harrison Mwakyembe.

Ambapo Mwakyembe aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya RICHMOND ataueleza umma namna Lowasa alivyoipatia serikali hasara kupitia dili lake la RICHMOND.

Mkutano huu utarushwa live Star Tv, Azam Tv na TBC1 Kuanzia saa na 8-12 leo.
Usikose.

HAPA NI KAZI TU; UMOJA NI USHINDI
Asipomtaja mwenyekiti wake na familia take yatakuwa maigizo
 
Asisahau kumtaja Mwenye silent ocean
 
Huyo anayemsema ni fisadi, muda huu yupo madhabahuni anahubiri. Shauli yake yeye anayeendelea kuiba.
 
Hatimaye Dr Magufuli, mgombea urais CCM, leo anatarajia kutaja mafisadi mbalimbali wanaokwamisha maendeleo ya wanainchi katika mkutano wake wa kampeni mjini Mbeya katika uwanja wa Sokoine.

Hata hivo anatazamia kuweka wazi mikakati na hatua mbalimbali atakazochukua dhidi ya wahusika katika uongozi wake.

Dr Magufuli ataambatana na majembe wenzake hususani, Fildi Marshal Mwigulu Nchema na Dkt. Harrison Mwakyembe.

Ambapo Mwakyembe aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya RICHMOND ataueleza umma namna Lowasa alivyoipatia serikali hasara kupitia dili lake la RICHMOND.

Mkutano huu utarushwa live Star Tv, Azam Tv na TBC1 Kuanzia saa na 8-12 leo.
Usikose.

HAPA NI KAZI TU; UMOJA NI USHINDI
Leo atakuwa Njombe au nimedikia vibaya?
 
Back
Top Bottom