Hatimaye Dr Magufuli, mgombea urais CCM, leo anatarajia kutaja mafisadi mbalimbali wanaokwamisha maendeleo ya wanainchi katika mkutano wake wa kampeni mjini Mbeya katika uwanja wa Sokoine.
Hata hivo anatazamia kuweka wazi mikakati na hatua mbalimbali atakazochukua dhidi ya wahusika katika uongozi wake.
Dr Magufuli ataambatana na majembe wenzake hususani, Fildi Marshal Mwigulu Nchema na Dkt. Harrison Mwakyembe.
Ambapo Mwakyembe aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya RICHMOND ataueleza umma namna Lowasa alivyoipatia serikali hasara kupitia dili lake la RICHMOND.
Mkutano huu utarushwa live Star Tv, Azam Tv na TBC1 Kuanzia saa na 8-12 leo.
Usikose.
HAPA NI KAZI TU; UMOJA NI USHINDI