Magufuli kumnadi Chenge leo

Magufuli kumnadi Chenge leo

Wadau mtakaokuwepo huko hakikisheni mnarekodi tukio hilo maana wataedit kwenye taarifa ya habari.
 
Magufuli anafadhiliwa na mafisadi,ndio waliomchomekea ,na kuna msemo wa kialabu usemao -- anaekusaidia ndie bwana wako-- kwa maana unatakiwa umuheshimu hadi kufa kwako ,Magufuli ni lazima awahifadhi awalinde kama ulivyo msimamo wa chama chake kulindana,

oya weka na ushaidi ili na sisi tusio na vyama tuamin
 
Chonde chonde Magufuli usimnadi CHENGE, TIBAIJUKA.

Utapoteza ma elfu ya kura. Nami ntakuhama.

Hawa ndo wafadhili sasa unaposema kuwa eti asiwabadi unamaansha kuangamiza chama chetu cha mapinduzi.
Wewe utakuwa mwehu sasa. Nipo hapa bariadi halmashauri tunakaguajukwaa
 
Tume ya maadili ndio mahakama?mbona hushangai wale wanaomnadi yule aliyejiuzuru uwaziri mkuu ktk sakata la ufisadi?

Tumia akili kidogo wewe ndo maana inaongozwa na weledi wa sheria LA sivyo wangekaa wataalam wa IT basi
 
Kama Rostam alinyang'anywa ubunge na kudhalilishwa mpaka akalia. Who is Chenge.!?
Hawa ndo wafadhili sasa unaposema kuwa eti asiwabadi unamaansha kuangamiza chama chetu cha mapinduzi.
Wewe utakuwa mwehu sasa. Nipo hapa bariadi halmashauri tunakaguajukwaa
 
Kwa hiyo Chadema wanashindana na ccm kwa ufisadi.?
 
Tumia akili kidogo wewe ndo maana inaongozwa na weledi wa sheria LA sivyo wangekaa wataalam wa IT basi

Ebu wewe mwenye akili tujuze,tume ya maadili ni mahakama?tafakari kabla hujajibu
 
Leo Chenge azuge anaumwa na alazwe hospital, ili kuepusha maneno maneno.
 
nangojea kuona utapeli wa chama cha kijani leo
 
Hv mgombea wa walutheri Leo yuko viwanja gani?
 
Back
Top Bottom