singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Wafuasi atakaokwenda nao SEGEREA, UKONGA au KEKO.Hapo ndio wanamuongezea lowassa wafuasi.
swissme
Bado siku chache , hili jambazi lenu mtalikana.Lowassa kashaifilisi CCM.... Saizi wana mpango wa kumleta Chamelion wa Uganda ili akapige show Mwanza
Yeye na wenzake mafisadi watafilisiwa. Magufuli yupo siliace na kazi yake.
Amfilisi mara ngapi? Rostam yuko wapi? Mbowe yuko wapi? Ukipata majibu hayo ndio utaelewa nachokisema.
Siliace ndio wapi huko?
Msifanye masihara na kumfirisi lowassa na mnaweza mkute nyinyi ccm ndio mtafirisika
Lowassa kashaifilisi CCM.... Saizi wana mpango wa kumleta Chamelion wa Uganda ili akapige show Mwanza
Hapo ndio wanamuongezea lowassa wafuasi.
swissme
Chameleone aje kufanya nini hapa? Okay, tuseme ni kweli, huoni kuwa ni hela ndio itakayotumika? Si bado wana hela?