Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

Hii imenichekesha sana eti DC ndo anachimba mkwara jana watu wachimbe vyoo.Mpaka Magufuli aseme#!!!Hawa MaDC wapiga dili

Tatizo la bariadi sio choo ni mila potofu kuwa choo ni cha baba mwenye nyumba wengine nendeni vichakani (kwibala), wakishachimba vyoo ahakikishe vinatumika, pia lipo tatizo jingine mzee wa vijisenti kajenga kiwanda cha mikate sasa watu hawali tena mbute.
 
Wakuu wa wilaya na mikoa pamoja na watumishi wengine wa kuteuliwa, wanaonesha jinsi rais aliyewateua alivyo.

Kuna uteuzi wa wakuu wa wilaya uligeuka kuwa kejeri hadi ikafikia hatua ikiwekwa picha mitandaoni ya mwanamke mwenye makalio makubwa watu wanauliza ni mkuu wa wilaya gani huyo!? Hivyo isiishie kuangalia CV ya darasani tu, maana kuna watu wana CV nzuri za darasani ila hawana adabu na nidhamu kwenye jamii.

Kuna yule aliyempiga mzee wetu mhe. Waryoba halafu akapewa ukuu wa wilaya, hapaswi kurudi ofisini, amewafedhehesha vijana kwa kumpiga mzee sawa na babu yake.

Nina imani magufuri atawaondoa wote wasio na sifa za kiutawala. Na ile falsafa yake ya #HAPA KAZI TU itakuwa imendewa haki.
 
....maskini ma RC na DC waliochaguliwa kwa ukubwa wa wowowo imekula kwao....
 
Safi sana akague na za ma RPC na wale wa wilaya. Akague pia na RAS na DAS
 
Mh Rais nasikia JPM kaagiza CV zote za RC na DC ili awachuje wasiokuwa n sifa ya kuwa maRC or DC
"Nileteeni mezani kwangu CV za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wote" JPM 😄😄😄

Na watatemwa wengiiiiiiii
MZEE ANAKAGUA MWENYEWE HAKAGULIWI..HATAKI WAPAMBE
Kama ameamua hivi atajenga serikali madhubuti.

Duh!! Inamaana gani kwa mtangulizi wake, sipati picha hivi huko mjengoni magogoni alikabidhiwa ofisi isiyo na makabrasha!!! hata 'CVs' za wateule hakuna!!
Mytake: kama zinakusanywa moja kwa moja kutoka kwa wahusika ZITACHAKACHULIWA MNO.
 
If this is true makapi ya mkwere nikuflash kama taka chafu.


100% this will bear a +ve impact to the development of our nation so far to the peoples as well.

kupeana hovyohovyo tena kindugu na nyumba ndogo ilikuwa kazi ya mkwere.

Sasa tupeane kihalal na jiheshima. Ukitokota - out.


Magufuli sasa anarudisha heshima ya nchi yetu iliyopotea kwa muda wa miaka kumi ya mkwereee; sasa hata Kagame anatoa mbukwa!!
 
Ma-DC na RC hawana CV nzuri, wao wamewekwa kwa ajili ya kutekeleza maagizo ya chama tu, hapa kazi hawaiwezi wanasubiri ni chama gani kimefanya mikutano waivuruge waonekane wanafanya kazi kwa kuwaweka ndani.
 
Magesa Mulongo na Makonda ndo wale wale wateule wa Jk utawala wa Magufuli hakuna jipya
 
Tatizo la bariadi sio choo ni mila potofu kuwa choo ni cha baba mwenye nyumba wengine nendeni vichakani (kwibala), wakishachimba vyoo ahakikishe vinatumika, pia lipo tatizo jingine mzee wa vijisenti kajenga kiwanda cha mikate sasa watu hawali tena mbute.

Karne hii watu wanajisaidia vichakani si janga aisee
 
....maskini ma RC na DC waliochaguliwa kwa ukubwa wa wowowo imekula kwao....

Kushoto RC MTWARA

attachment.php

 

Attachments

  • rc mtwara.JPG
    rc mtwara.JPG
    33.5 KB · Views: 706
Back
Top Bottom