Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,837
Hapa hatupo katika kucompare. Halafu ikumbukwe kenya ni nchi ya uchumi wa kati. Magufuli kawaweka peupe kumbe kujisifu kote huko ni 1.5b tu!!!?verbal diarrhea tupu. huo ushahindi wa wazungu upo wapi. story za vijiweni ziache huko!!! ni ndogo akilini kwa kwako. ebu ziweke twakimu za uekezaji wa tz kenya hapa!!
Nitakupa list ya makampuni yaliyopo tz ya kizungu kwa mgongo wa kenya.
Mimi naongea fact.
Nitakupatia hiyo list kesho sawa?