assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Rais wetu, amekubali kupokea ushauri toka sekta binafsi. Mimi naona kachelewa sana.
Alivyoingia madarakani ni kama alikuwa anapambana na wafanyabiashara akiamini wengi sio watu waaminifu na wapiga dili.
Mfano: Suala la kukamata makontena , suala la kukamata sukari kwenye godown zao, benki kunyanganywa deposit ya serikali na kupelekwa benki kuu(BOT).nk
Hivi sasa kuna baadhi ya benki ziko na hali mbaya, wafanyabiashara wanafunga biashara, wengine wamekimbia bandari. nk.
Raisi alipaswa kushirikiana na sekta binafsi toka mwanzo. Investment imepungua kwa kwa sababu ya uncertainty ya sera zetu.
Ni vizuri serikali isiwachukulie kuwa wafanyabiashara ni wapigadili Bali kampuni zilzokuwa kuwa zinakwepa kodi zisimamiwe, zionywe, ili zilipe kodi na kuongeza tax base badala ya kuzifunga kwani zitafukuza wafanyakazi most Tanzanian, pili umepunguza tax base.
Ongezeni tax base kwa ushiriakiano na sekta binafsi na sio nyongeza tax rate.