Vision 2030
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 407
- 250
Umenena vyema we bwanaJamaa yuko vizuri sana tatizo siasa za kiafrika hazifai unakuta mwanasiasa wa upinzani anapinga hata vitu vya maendeleo kwa masilahi binafsi.
Hakika kutokana na Sababu zifuatazo:-1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.
2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!
3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.
4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.
5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.
6.Wote tuseme Amein.
Jamaa yuko vizuri sana tatizo siasa za kiafrika hazifai unakuta mwanasiasa wa upinzani anapinga hata vitu vya maendeleo kwa masilahi binafsi.
Mkuu kwa nini umesema "Amein" na sio "Amen!"1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.
2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!
3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.
4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.
5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.
6.Wote tuseme Amein.
Mtu aliye strategic hakutakiwa kufanya uadui na wale wenye mawazo mbadala. Angewasikiliza na kisha kusonga mbele na mipango yake. Wa aina hiyo hakutakiwa kulivunja nguvu kambi ya upinzani bungeni.1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.
2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!
3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.
4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.
5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.
6.Wote tuseme Amein.
AmenMkuu kwa nini umesema "Amein" na sio "Amen!"
"Namba sio muhimu sana sijalenga kupata nafasihata hivyo akitaka nipate nafasi nitapata "Umesahau namba ya cm kuweka
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.
2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!
3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.
4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.
5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.
6.Wote tuseme Amein.
Hivi hawajui waliompiga Lissu risasi na waliowapoteza Ben na Azory? Huo mkakati wa kujenga vihenge wakati alishatuambia kuwa serikali hailimi umeanza lini? Au anaenda kupokonya kama kule koroshoni.1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.
2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!
3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.
4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.
5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.
6.Wote tuseme Amein.
Mkuu Amein na Amen ni maneno mawili tofauti kabisa.The right word is Amein!Amen was an Egyptian Sun-deity.Fuata link ifuatayo uone ukweli huo.Amen
1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.