"Magufuli is very strategic person indeed never happened in Tanzania"

1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.

2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!

3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.

4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.

5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.

6.Wote tuseme Amein.
Vihenge ilikuwa wazo la Pinda toka awamu ya nne. Alienda Poland ambako wana utalaam kwenye fani hiyo.
SGR ilianza awamu ya nne. Kitu kipya ni kuwakataa Wachina na mkopo wao wenye rushwa kubwa. Hili anastahili pongezi.
Kitu kipya pekee ni Stieglers Gorge. Muda utasema lakini sioni mafanikio. Itakuwa Mtera na Kidatu nyingine.
 
1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.

2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!

3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.

4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.

5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.

6.Wote tuseme Amein.
People needs someone who can make 1+1=10000+ and not 1+1=2 which is obvious to everyone!
 
1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.

2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!

3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.

4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.

5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.

6.Wote tuseme Amein.
Amen
 
Msikufuru. Never happened in Tanzania? Amemzidi hata Nyerere?

Tatizo mnatufanya sote MAFALA. Kwamba hayo anayofanya ni kwa pesa kutoka mfukoni mwake. Kwamba hizo fedha zilizopitishwa na Bunge kisha Jiwe kutoa pungufu ni sawa tu. Kwamba hayo matumizi ya serikali kinyume yasiyojali idhini ya Bunge pia ni sawa tu. Na zile trilioni 4.8 zilizobainiwa na CAG sio big deal.

Tell you what, you can fool some of the people all of the time, and all of the people some of the time, but you can not fool all of the people all of the time.
"Nyerere alikuwa na mazuri yake na Magu anamazuri yake"
 
Nchi inajengwa na watu sio mtu...
Mtu anatakiwa kuwaongoza hao watu wafike pale panapostahili
kwavile wanaopinga na kuunga mkono wote ni watu.., kiongozi mzuri anapaswa kufanya kazi zaidi wale wanaompinga wamuunge mkono ili kusaidia nguvu za kufika pale anapotaka

wale mnaomsifia kwamba ni yeye ndio anafanya peke yake kama vile wengine ni watazamaji hamumsaidii kuunganisha nguvu kazi bali mnaharibu..
Nonsense.
 
Kila kitu maono ya Magu bt nijuavyo mie ukiona mnatumia muda mwingi kutetea tetea hata vile vitu visivyostahilili mf utasikia zahanati zinajengwa mara barabar a utadhani yeye ndo wa kwanza kufanya hivyo jua kuna tatizo sehemu tambueni mnatumia muda mwingi kumtetea punguzeni bc kama ni kazi wananchi si wanaona lkn? 'kizuri chajiuza kibaya chajitembeza"
 
Back
Top Bottom