"Magufuli is very strategic person indeed never happened in Tanzania"

Vision 2030

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
407
250
1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.

2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!

3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.

4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.

5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.

6.Wote tuseme Amein.
 
Hakika kutokana na Sababu zifuatazo:-
1. Alianzisha mfumo wa kuteka watu na kuwanyanyasa mfano Mdude, Mo, Roma.

2. Mfumo wa kuteka watu na kupotezwa katika ramani ya Dunia mfano Ben Sanane, Azwory n.k

3. Mfumo wa kushambulia wananchi kwa risasi mfano Tundu Lisu.

4. Mfumo wa kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi, utakatishaji fedha n.k mfano Erick kabendera, Rugemalira.

Semeni Ameni.
 
1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.
2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!
3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.
4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.
5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.
6.Wote tuseme Amein.
Mkuu kwa nini umesema "Amein" na sio "Amen!"
 
Mtu aliye strategic hakutakiwa kufanya uadui na wale wenye mawazo mbadala. Angewasikiliza na kisha kusonga mbele na mipango yake. Wa aina hiyo hakutakiwa kulivunja nguvu kambi ya upinzani bungeni.

Wa aina hiyo hakutakiwa kuingilia biashara ya korosho na kuisababishia serikali hasara ya billions. Wa aina hiyo hakutakiwa kuwafunga watu midomo. Omba ushuhudie mwisho wenye aibu.
 
1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.

2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!

3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.

4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.

5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.

6.Wote tuseme Amein.
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nchi inajengwa na watu sio mtu...
Mtu anatakiwa kuwaongoza hao watu wafike pale panapostahili
kwavile wanaopinga na kuunga mkono wote ni watu.., kiongozi mzuri anapaswa kufanya kazi zaidi wale wanaompinga wamuunge mkono ili kusaidia nguvu za kufika pale anapotaka

wale mnaomsifia kwamba ni yeye ndio anafanya peke yake kama vile wengine ni watazamaji hamumsaidii kuunganisha nguvu kazi bali mnaharibu..
 
1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.

2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!

3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.

4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.

5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.

6.Wote tuseme Amein.
Hivi hawajui waliompiga Lissu risasi na waliowapoteza Ben na Azory? Huo mkakati wa kujenga vihenge wakati alishatuambia kuwa serikali hailimi umeanza lini? Au anaenda kupokonya kama kule koroshoni.
 
1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini.
2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi!
3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika.
4.Ukiwa mbinafsi huwezi kumuelewa Magu,He is very strategic kind of person never happened in Tanzania.
5.Huko nyuma niliwahi andika,kwa Mara ya kwanza tumepata Rais ambaye ni scientist 1+1=2 hivyo siasa kidogo matendo ya kutosha.
6.Wote tuseme Amein.

Msikufuru. Never happened in Tanzania? Amemzidi hata Nyerere?

Tatizo mnatufanya sote MAFALA. Kwamba hayo anayofanya ni kwa pesa kutoka mfukoni mwake. Kwamba hizo fedha zilizopitishwa na Bunge kisha Jiwe kutoa pungufu ni sawa tu. Kwamba hayo matumizi ya serikali kinyume yasiyojali idhini ya Bunge pia ni sawa tu. Na zile trilioni 4.8 zilizobainiwa na CAG sio big deal.

Tell you what, you can fool some of the people all of the time, and all of the people some of the time, but you can not fool all of the people all of the time.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom