Magufuli is the real deal

Magufuli is the real deal

Kila nitazamapo hii clip huwa najiuliza "huyu jamaa siku yuko wapi na maneno yake ya mihemko! Eti "the spirit of Mwalimu Nyerere is working inside Magufuli"
Viongozi wa Afrika siyo wa kupigia upatu maana majamaa wakati wa kuomba kura huvaa ngozi ya kondoo yakishapata ulejea kwenye ngozi zao halisi za mbwa misitu.
 
when intellectuals turn into fortune tellers or vodoo expert,expect the unexpected
 
Nafikiri alidanganyika na ile speed aliyoanza nayo mwanzo jpm!
Mihemuko ndiyo ilimuongoza huyu msomi badala ya kuchukua muda ajiridhishe kwanza!

Kumbe mtu unaweza kujijengea heshima muda mrefu ikaja kuporomoshwa na kitu kimoja tu
 
Nilichokuja kugundua Magufuli ni zaidi ya msanii. Wengi watamjua baadae kwa sasa bado ila wachache wameshamshtukia
But yet far better kuliko wale wengine!
wale ni vipofu kabisa wakati huyu ni chongo tu......ni kweli wote wana hitilafu lakini mmoja angalau!
 
This is Nyani Ngabu i know since 2006! wee jamaa ni noma!
 
An African professor with such myopic vision.......too odious to handle.

I can't think of how that dunderhead got blinded with Magufuli's whim to become a leader.

With Magufuli's initial drama he had the courage to madly prophecies about the whole thing, unfortunately he went into opposite direction.
In Africa it seems that education level rarely affects one's intelligence that's why we're now having dumb professors like him and his 'twin brother' Lipumba.
 
You want Magufuli to fail...did I get that right?
I do not think there is anybody who wants Magufuli to fail unless you are not a Tanzanian ........... But the fact is there are no signs that he is going to do better!! I wish he will ..............!!!
 
I've basically said it from jump street that I wanted him to fail and I stand by it.
NN you want the guy to fail? Don't you realize that his failure is a downfall for us all? I think a patriotic Tanzanian would never wish their president to fail. It's like wanting a ship to sink while you're in the middle of an ocean.
 
Kwa matendo yake, hata wana Lumumba wameacha kumtetea tofauti na ilivyokuwa kwa JK. Wanamtetea leo, kesho anaharibu, wanamtetea kesho, siku inayofuata anaharibu. Ni zigo la misumari wameamua kulibwaga.
 
Magufuli is the real deal, tena a very bid deal, judgement kuwa he is a real deal or not haifanywi mwanzoni, inafanywa mwishoni kwa kupima matokeo na achievements kwa mtindo ule ule wa usually the end justify the means, kufikia 2025, Tanzania ya viwanda, yenye uchumi wa gesi, flyovers all the places, treni za umeme, ATC ikiruka dunia nzima kama Ethiopian Airlines of course with Chama kimoja cha siasa as usual for African Democracy, ndipo tukutane hapa tujadiliane if he is a real good deal or not.

Kama issues za kufanya asionekana real deal now ni huu udikiteta, ni kweli Magufuli ni dikteta na tatizo lake kubwa ni moja tuu tena dogo sana, ukosefu wa hekima na busara tuu katika kufikia baadhi ya maamuzi, anakurupuka sana na anaropoka sana ila hiki ndicho Tanzania tulichohitaji, tulichotaka, tulichoomba na tukapatiwa. Busara atatushiwa tuu kama Mfalme Suleiman alivyoshushishiwa, kwa sasa deal ni udikiteta!. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Watanzia ni watu wa ajabu sana, wepesi wa kulaumu na kulalamika na kulaani huku wakijilaumu kujuta kufanya makosa na kujiapiza kamwe hawatarudia makosa, lakini unapofikia muda wa kufanya maamuzi, Watanzania ni wepesi wa kusahau, hawana tena kumbukumbu za mambo ya nyuma, ile shibe ya siku moja ya pilau na mavazi ya bure ya T-shirt na kofia, yanatosha kusahaulisha yote, na kisha tunarudia yale yale na ushahidi ni 2020! .

Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Watanzania ni 'very unique creatures'

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?

Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.

Paskali.
 
Huu uzi ni kwa ajili ya wale waliopata bahati ya kwenda 'shule' sie wa Koromije unapita kwa pembeni. sijamuona @ Kiranga tu list ikamilike.
 
Back
Top Bottom