I've basically said it from jump street that I wanted him to fail and I stand by it.
Miezi sita iliyopita kasema hivi, sikiliza mwenyewe.
I've basically said it from jump street that I wanted him to fail and I stand by it.
No sane mind would be aboard a flight and still wish ill upon the Captain. I still would love to hear Nyani Ngabu's reasoning behind that, maybe we got it all wrong, or he could be delivering on his signature "Miafrika Ndivyo Tulivyo".
Tatizo wengi walimsifia kabla hawajamjua undani wake.Nadhani leo jamaa akiulizwa anaweza hata kuyaruka aliyoyaongea.
Miezi sita iliyopita kasema hivi, sikiliza mwenyewe.
I was very specific, though, in what I wanted him to fail in.
Hahahaa...you're right.
There's always some method to my madness. It's my style.
But click on the link below and read what I wrote and then come back and tell me if you want him to succeed.
Nataka rais Magufuli ashindwe
Mkuu huyu hata last week channel ten kwenye mdahalo bado alimcfia sana magu....so yeye bado anaamn magu yuko kwenye njia sahihiSio tu Lumumba, JPM kaacha watu wengi sana wakijilaumu kwa maneno waliyoyasema juu yake mara baada ya kuapishwa na kuanza kazi kama Rais.
Hapo sijaongelea wapiga kura wanavyogugumia kwa maumivu kimyakimya.
In that post? couldn't find it.
Read your piece man, and as much as I'm not a fan, I got to admit....IT IS GOLD, can't front. Took me a while, but you had him figured out earlier that he wasn't cut for presidency.
"Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje."
Respect.
Duuuh....cjui kwa nn umemuona bom......bado mm nnaamn maguful anajaribu kucmamisha taifa Katka hak wakat likiwa gizan for 3generation...namfananisha sana na Franklin... Anahtaj lyk 15 years il nchi inyooke.... Na c mda mfup kias hik...! Lakn watanzania wengi tangu mwanzo walimuombea ku fail kabsa...Huko ni kukurupuka.
Sisi wengine tusio na visomo vikubwa mbona tulijua kuwa jamaa siyo kiongozi mzuri bali ni msimamizi mzuri.
Sasa mtu bonge la msomi, tena msomi wa sheria..fani adhimu ya majiniasi, anaingia mkenge kirahisi namna hiyo?
Ndo maana mimi kamwe huwezi kunikuta nachanganya kati ya busara na hekima na akili za darasani za kukariri mambo.
Duuuh....cjui kwa nn umemuona bom......bado mm nnaamn maguful anajaribu kucmamisha taifa Katka hak wakat likiwa gizan for 3generation...namfananisha sana na Franklin... Anahtaj lyk 15 years il nchi inyooke.... Na c mda mfup kias hik...! Lakn watanzania wengi tangu mwanzo walimuombea ku fail kabsa...
Before you all jump all over me after reading the header you need to pump your brakes for a minute.
Those are not my words. They are PLO Lumumba's.
If you don't know who PLO Lumumba is then Google and YouTube are your friends.
Since I don't usually accuse people of saying things that they didn't say, here is the video. Take a look.
He said that shortly after Magufuli's 'immaculation'.
'Immaculation' is a portmanteau from Immaculate and Inauguration [that's for you numbskulls out there😀].
So, that got me thinking today. It got me thinking about what would he now say about Magufuli.
It also got me asking myself as to what actually made him say that especially considering the fact that the POTUROT [that's President Of The United Republic Of Tanzania] had just ascended to ascendancy.
Why the haste to extol his virtues when the man had just been sworn in?
Now that the man whom he called the "real deal" and who he said in the next 10 years was going to "provide moral and political leadership in the East African region" has transmogrified into a full-fledged potentate, what would [PLO] say? Shameful.
It's mind-boggling to me that a person of 'great' erudition like him would be that hasty.
Here I am little 'ol me mbeba maboksi with no education to speak of and I was of the 'let's wait and see' approach because I know better. I know time tells and indeed it is [telling us].
But that learned brother, a man with the spectacular vernacular to alacritously declare Magufuli in the manner in which he did is beyond my comprehension.
What the hell was he thinking?
African intellectuals.....#scratchin' my head#
I wholly agree with you! The Only Person who Forecasted Magufulishness was Tundu Lissu, its on YouTube!Many thoughts he was a real deal. But his actions, words and overall-performance has long disqualified even for the position.
I too had many friends (both citizens and non-Tz) who jumped the bandwagon too early and now they hate to be associated with anything they said or felt a year ago!!
They chap is totally unfit for the cap.
ICE is coming your way, look over your shoulders, USA babe!!!
Sawa kabsa...pamoja na yote weng wanapga kelele sana kuhusu magu na ubovu wake kuliko kuyaanika hadharan...kumbuka this is a war to Mr.president...he Is fighting against the Giants. And corrupted leaders as together as business men....yeye ameamua kuingia kwenye fight ambayo most of Tanzanian citizens tuna preach without acting....Unajua nini?
Hata saa mbovu huwa ipo sahihi mara mbili kwa siku.
Kuna vitu au mambo machache ambayo ni mazuri kwa Magu.
Lakini kwa ujumla, hayo mazuri yake machache yakilinganishwa na hayo mabaya yake, hayo mabaya yanayazidi hayo mazuri kwa mbali mno yaani.
Mimi nilimuunga mkono [na naendelea kumuunga mkono kama bado ataendelea kuwa hivyo] pale alipoanza kuwapa jambajamba watoa huduma za umma.
Huduma kwenye ofisi za umma ni mbaya mno Tanzania. Jambo dogo tu la kuchukua hata dakika tano unaweza ukazungushwa hadi kufikia mwezi mzima hujapata unachokitaka.
Sasa huo ni ungese. Vichaa kama sisi hatukawii kulianzisha aisee. Nakumbuka kuna wakati nililianzisha kwenye mahakama ya wilaya Bariadi ilibaki kidogo nitiwe pingu nipelekwe jela hahahaaa.
Sasa kama Magu akikomaa na kuleta nidhamu kwenye utumishi wa umma mimi hilo nitaliunga mkono hata kama yeye mwenyewe simkubali.