Baada ya kutambuliwa kama mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa dhihaka, mabaye huwafuta watu hadharani, huenda sasa Rais wa Tanzania John Magufuli ana maadui wengi.
Sasa akiwa ikulu na kama njia ya kuchukua tahadharia, inaripotiwa kuwa Magufulu hula chakula kilichopikwa tu na mke wake.
Kulingana na gazeti la Financial Times ni kwamba hili limedhihirika kutoka na upinzani anaokumbana nao.
Lakini hilo halijathibitiswa wala gazeti la Financial Times halijasema ni jinsi gani walipata uvumi huo.
bbc swahili
Kama wewe haujachemsha si ungeandika lililokufaa, pitia kushoto kaishi utakavyo. Unafikiri nina muda wa kukaa na kuchunguza maisha yao...kajipime juu kwanza sio kudandia kusipokuwa na uhakika wa jibu la anafanyaje mkewe labda wa karibu yao ndio aandike.