Magufuli hatukani wapinzani

gimanini

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,741
1,754
Nimekuwa nikifuatilia kauli za wanasiasa wengi nchini,hasa wa vyama vya upinzani na wale wa CCM nimegundua kuwa dr.john magufuri hana tabia ya kuwakashifu wana upinzani km ilivyo kwa wanaccm kama nape,na wengineo,kwani amekuwa akijinadi kuwa atakuwa rais wa watanzania wote pasipo kujali chama cha mtu,kwa hili nampongeza sana kwani anafaa kuwa rais wa awamu ya tano.
 
Ukiwa mwanasiasa ni vyema ukawa na akiba ya maneno. We muone Sumaye alivyowahenyesha sapinzani kipindi cha utawala wake. Aliwaambia wafanya biashara wanaotaka mambo yao yawaendee waiunge mkono CCM. Kweli alitekeleza hili kwa kuwafuatilia wasiounga mkono CCM kupitia TRA. Leo hii yeye anasema mfumo mbovu wa CCM kwasababu naye mambo yamemgeukia.

Mwaka 2010 Lowasa aliwahi kumwambia Slaa ajifunze siasa za Tanzania kwamba kujaza umati wa watu.haina maana ndo unapendwa. Leo hii yeye anasema hakutendewa haki kwasababu alipendwa na kujaza umati wa watu. Mugufuli ni muelewa.
 
nakuunga mkono,binafsi sasa namsapoti magufuri.
 
nakuunga mkono,binafsi sasa namsapoti magufuri.

Magufuli anajua hao atawahitaji kww vyovyote vile. Ukianza kuwaponda halafu itakuwa vigumu kufanya nao kazi.Matatizo mengi yanajitokeza kati ya watu kwasababu ya kutoaminiana. Akishajenga hali ya kuaminiana itamuwia rahisi kutatua migogoro na wapinzani. Mbali na hapo ndo mara nyingi third party anatakiwa ili kusuruhisha hata migogoro midogo.
 
Kiukweli ukiacha ushabiki lowasa hana hoja za msingi,hana vision hana mission,kwa taifa letu,chadem wanafiki walituaminisha kuwa wana uwadilifu kumbe malofa tu, sasa chukua lowasa sumae,je kuna fikra mpya mawazo mapya?jamani usipoteze kura yako kuwapa hao walevi wa madaraka walokosa misingi bora ya maadili kwa kuwapokea hao wezi,majambazi ambao marafiki wao ni matajiri wakubwa tz,je wew maskin utakumbukwa kweli,magufuli tosha,uwezo anao sifa anazo,
 
Ukimuliza kijana wa kitanzania utasikia tunataka mabadiliko,yako wapi mabadiliko wakati vichwa maji ni vilevile,sasa mabadiliko hayo yakowapi,huyo lowasa ana history ipi nzuli kukuletea mabadiliko?usipoteze muda wako kumchagua huyo mtu asiejua hata kujieleza anazidiwa na mdogo wangu anaesoma certificate ya records management,kwani prisentation anaweza,lakini huyo babu kachoka
 
ni wazi chadema imekosa mwelekeo....mtaji wao ni wale watu wasio na uelewa mpana wa kuhoji misingi ya chama....sasa hivi haieleweki falsafa ya ukawa ni nini...ndo maana sikumbuki ni rais gani jana alisema ukawa ina mgombea binafsi ambaye ana sera zake mwenyewe binafsi mbali na chama
 
UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.

Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu Kwa kusema hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI STUPIDITY, LACK OF KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.

Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo

1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.

3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM.

4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.

5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.

6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.

7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea ajenda ya siri iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na 2012 kusimamia na Mpumbavu Joshua Nassari.

8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi ya uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani Prof. Lipumba na Dr. Slaa.

9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.

10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali kuburuzwa kama "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka lini? Slaa, Mbowe, Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na 2015.

Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa kushindwa kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa walanguzi kumpeleka Lowasa ikulu.

Acha kuwa mpumbavu na lofa.

UKAWA NI

U - UMOJA
KA - KAMILI WA
WA - WAPUMBAVU

KARIBU CCM MPE KURA YAKO MAGUFULI
#TEAM TINGATINGA
#HAPA KAZI TUUU
#SITAWAANGUSHAA
#MAGUFULI 💚💚✅✅
#CCM ✅✅✅✅

UMOJA NI USHINDI UNGANA NA CCM TEAM YA USHINDI

BY MTANZANIA MZALENDO
INNOCENT MBILINYI MAGUFULI
MTOTO WA SAMIA SULUHU NA MJUKUU WA DR SHEIN PIA NI KITUKUU CHA CCM IMARA NA ZALENDO.

#TUKUTANE OCTOBER 25
 
Ukimuliza kijana wa kitanzania utasikia tunataka mabadiliko,yako wapi mabadiliko wakati vichwa maji ni vilevile,sasa mabadiliko hayo yakowapi,huyo lowasa ana history ipi nzuli kukuletea mabadiliko?usipoteze muda wako kumchagua huyo mtu asiejua hata kujieleza anazidiwa na mdogo wangu anaesoma certificate ya records management,kwani prisentation anaweza,lakini huyo babu kachoka

Mkuu nikuambie ukweli tu hapa umesukumwa na jazba, pengine na chuki ndani yake......CCM wameiongoza hii Nchi zaidi ya miaka 40,Nchi ina kila kitu ndani yake, migodi ya madini hata idadi siijui,misitu maekari na maekari, bandari kubwa tena ikiwa umizungukwa na Nchi zenye uhitaji mkubwa wa huduma za kibandari........niambie ukiacha hizo barabara mbovu munazodanganyia watanzania ni kipi kingine munachosemea hapa kazi tu?
CCM hawana cha kudanganya tena, watoto wetu wanakaa chini huku mashuleni, watu wanastaafu kazi mafao hakuna maana serikali imekopa hela yote,mahospitalini mzazi anaenda kujifungua kabeba vifaa vyake kasoro kitanda maana kule atakutana na sakafu ya kulalia.........nakuhakikishia wabebaki wapumbavu wachache wenye ushabiki na hicho chama, wengine wamebaki kwa vile wanajua wanashibia humu, ngija huyo mdogo wako wa certificate aje kufika hatua ya kutaka mkopo wa chuo pengine utaelewa zaidi.
 
Tatizo sio kuuchukia umaskini tu, eleza utauondoa kwa njia gani? By mkapa
 
Lowassa angekuwa anauchukia umaskini basi monduli ingekuwa na mabilionea wengi kuzidi sehem yyte nchini,
 
Nimekuwa nikifuatilia kauli za wanasiasa wengi nchini,hasa wa vyama vya upinzani na wale wa CCM nimegundua kuwa dr.john magufuri hana tabia ya kuwakashifu wana upinzani km ilivyo kwa wanaccm kama nape,na wengineo,kwani amekuwa akijinadi kuwa atakuwa rais wa watanzania wote pasipo kujali chama cha mtu,kwa hili nampongeza sana kwani anafaa kuwa rais wa awamu ya tano.

Kila mmoja kampongeza kwa hilo
 
Dr. Magufuli anaweza akawa hatukani lakini kundi linalomzunguka na ambao wengi ama atafanya nao kazi au watakuwa washauri WAMETUTUSI.

sina ugomvi na Dr. Magufuli tatizo ni Makonda, Nape, Rz1, Lusinde siamini hawa wanastahili kuendelea kuwa sehemu ya kuongoza taifa langu
 
Back
Top Bottom