Magufuli hakufika kwenye majimbo Matano tu!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,120
Reaction score
31,640
TINGA TINGA Limeomba radhi kwa kushindwa kufika kwenye majimbo matano tu na ameahidi kuyatembelea mara baada ya kuapishwa.

Hakuna mgombea anayeweza kuisogelea rekodi hii ya Magufuli.
 
Takwimu hazidanganyi
 
Chama chenye mtandao mpana. Mgombea wake kafika sehem nyingi zaid. Safi sana
 
Kafika kuona umasikini ambao hana uwezo WA kuuondoa
 
Kuna majimbo alyoenda ila hatapata kitu...
Hai
Nyamagana
Bunda
Musoma mjini
Ukerewe
Mbeya
Iringa
 
Lazima, lazima, lazima LOWASSA anayechaguliwa na wananchi awe Rais, vinginevyo ni machafuko yasiyo na kikomo, CCM tendeni haki tu ili kuliepusha Taifa na maafa!
 
unaonekana unapenda vurugu badala ya kazi shenzi kabsa pumbavu lofa I hate watu wote wanaotaka machafuko yani daah ila ngoja naomba urudie kusikiliza amir jeshi mkuu alivyosema

Magufuli atawanyoooooosha wanywa viroba nyie kabla ya kuanza kuichafua Tz angalia wakina mama na watoto wa nchi zenye machafuko ndipo uendelee na huo upumbavu wako
 
Lazima, lazima, lazima LOWASSA anayechaguliwa na wananchi awe Rais, vinginevyo ni machafuko yasiyo na kikomo, CCM tendeni haki tu ili kuliepusha Taifa na maafa!

Kama hujipendi kamtingishe mtu-JK
 
TINGA TINGA Limeomba radhi kwa kushindwa kufika kwenye majimbo matano tu na ameahidi kuyatembelea mara baada ya kuapishwa.

Hakuna mgombea anayeweza kuisogelea rekodi hii ya Magufuli.

Huyu baba ni muongo sijawahi kuona hata urais wake sijui utakuwaje kama bahati mbaya akichaguliwa (Mungu epushia mbali). Morogoro peje yake hakutembelea majimbo matatu ninayoyajua.
Morogoro kusini
Morogoro kusini mashariki
Morogoro kusini magharibi
Hayo ni y?le ninayoyajua tena mkoa mmoja tu.
 
Lazima, lazima, lazima LOWASSA anayechaguliwa na wananchi awe Rais, vinginevyo ni machafuko yasiyo na kikomo, CCM tendeni haki tu ili kuliepusha Taifa na maafa!

Invisible watu kama hawa ni wakuwashughulikia tu,wanaharibu hata misingi ya Jf.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom