Change_down
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 276
- 54
TINGA TINGA Limeomba radhi kwa kushindwa kufika kwenye majimbo matano tu na ameahidi kuyatembelea mara baada ya kuapishwa.
Hakuna mgombea anayeweza kuisogelea rekodi hii ya Magufuli.
yupo vzr! na yule mdoli aliekua unapita angani na choppa zaidi ya tano umetua majimbo mangapi