Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Magufuli na vibaraka wake walipokuwa wanakejeli watu waliowaua kama Ben Saaane, na waliowapiga risasi kama kina Lissu walikuwa na gurantee ya immortality? Hilo swali mngekuwa mmemuuliza kipindi hicho pengine leo angekuwa hai. Sisi tulijua na tunajua hatutaishi milele ndiyo maana tunakemea watu kuuawa au kuumizwa na wenye madaraka. Wewe ndiyo unajua leo? Pole sana!
Mbowe aliangushwa na konyagi akasingizia wasiojulikana.!

Hamuaminiki nyinyi nyumbu
 
Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.

Aliua alitesa na kupoteza watu

Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.

Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Ni wachache saaana ambao wataikataa historia ya kusisimua ya huyu Mwamba kwamba, alikuwa ni mtu wa aina yake Hapa Duniani, Alifanya mengi makubwa,Mazuri na kwa muda mfupi, Utadhani kulikuwa na nguvu iliyokuwa ikimsukuma kufanya hivyo na kasi, kwa kuwa asingeliweza ishi kwa muda mrefu

JPM, Hawezi kusahaulika ktk historia ya Tz kwa mengi mema aliyoifanyia nchi yake,
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820

Ah! Kumbe Jafo aliyekuwa anamlamba nyayo!
 
Uzuri kubaki fuvu na wewe unayeandika hapa utabaki fuvu, ndg zako nao hivihivi na inawezekana tayari wengine ni mafuvu wakiwemo watu wako wa karibu kabisa, nao ni mafuvu, hata mimi takuwa hivohivo tu siku moja!
Kuwa na staha ndg!
Siwezi kuwa na staha kwa shetani.
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820

Jamaa wa ufipa wataanzisha kampeni huko twitter kupinga, ha ha ha.
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820

Wanasaccos lazima wanyooke wanajaribu kuua legacy yake lakini hawataweza kwa kuwa Hayati aliacha vitu halisi siyo blabla za wanasaccos.
 
Kwa hakika. Majizi kama Sir-buyer na wenzake uzi kama huu unawakumbusha mengi sana. Wanatamani waende kwa mwenda zake wakamuachie dhambi zao zote aende nazo ila ndivyo haiwezekani tena.
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
 
Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.

Aliua alitesa na kupoteza watu

Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.

Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Aaah wapiii
 
Back
Top Bottom