hapo mnafurahi wenyewe ππ ila mataga bnaHapa Kazi & Kasi Tu!!!
^Nani Kiboko!??? John Pombe kiboko yao!!!
^Nani Kiboko!??? John Pombe kiboko yao!!!
^Amefanya mengi, hata sisi sote tunayaona!!!^ (TOT)
Wanaompenda ndio watateseka maana hayupo tena.Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wak...
Ndiyo atafufuka?Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake...
Kafanya mengi yapi labi kifo chake tuHapa Kazi & Kasi Tu!!!
^Nani Kiboko!??? John Pombe kiboko yao!!!
^Nani Kiboko!??? John Pombe kiboko yao!!!
^Amefanya mengi, hata sisi sote tunayaona!!!^ (TOT)
Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.
Aliua alitesa na kupoteza watu
Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.
Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Wewe Umejuaje kama alikua hapendwi ?, eti Boss kubwaRais aliyekuwa analazimisha kupendwa
Kama haujui wewe mjinga tulia nikuambie na nikueleweshe maana sikuzote mtu mjinga huwa hajui kama yeye ni mjingaWewe Umejuaje kama alikua hapendwi ?, eti Boss kubwa
Sawa Sawa nakushukuruKama haujui wewe mjinga tulia nikuambie na nikueleweshe maana sikuzote mtu mjinga huwa hajui kama yeye ni mjinga
tesekea kwani alikua ananipa kula kusema nalala njaa?πUtateseka maisha yako yote
Ila weweπ€£π€£ tumekatazwa hilo jinaMwendazake city
Hivi azory na ben saa nane wako wapi?Toa ushahidi bhas
Kashaoza