Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wak...
Wanaompenda ndio watateseka maana hayupo tena.
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake...
Ndiyo atafufuka?
 
Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.

Aliua alitesa na kupoteza watu

Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.

Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!

Toa ushahidi bhas
 
58 Reactions
Reply
Back
Top Bottom