Magufuli awaonya wakenya

Magufuli awaonya wakenya

Hahahahaha kama ni kweli JPM amesema haya then jama ashakuwa kichekesho, You will never reach your destination if you stop and throw stones at every dog that barks, it's even embarassing to see how proud the OP is to post such nonsense. Poleni sana majirani kama hii ishu mnaona sawa rais aki address, hahaha waswahili na maneno mengi hawachoki.
 
President wa Tz Magufuli amewaonya wananchi wa Kenya kuacha kujisifia kwa miradi ya nchi jirani inayojengwa na ikikamilika wanapiga picha na kujisifia kuwa iko kenya,, kasema ukiona uzuri wa miradi ujue imegharamiwa na watu wanajua wajibu wao.

Hii inatoka na mkenya kupiga picha ya moderm suspended bridge of 680M constructed along Indian ocean from Dar city centre to Ireland area (Kigamboni) na kuweka on social network kuwa iko kenya

Hapa inatupa picha sisi wakenya kuwa viongozi wetu wanapenda kuiba pesa kwenye counts na government but no development up to the end tunabaki kuonea gere miradi mizuri ya wenzetu na kujifanya yetu huku viongozi wetu hawafanyi

Mkenya mgani anaongea Kiswahili kama hicho chako wewe msenge, usilete malumbano hapa na upuuzi huu wako wakujifanya Mkenya na its evident you are Tanzanian, fu.ck out of here with your bullshit.
 
Mkenya akitaka kuwa maarufu kwa makusudi atachukua picha yoyote ya Tanzania na kusema ni ya kwao, watanzania tutaanza kumshambulia kwa maneno kumbe tunampa umaarufu, sasa kwa suala kama hili rais aliache kwa raia wazalendo tu litafanyiwa kazi, asitoe matamko yatakayowapa wakenya kick.
 
Hehehe!! Mleta mada unabonyeza bonyeza hata bila kujua unaandika nini, hiyo elimu yenu ya Danganyika ni majanga.

Halafu ingekua bora sana kwa rais wenu kufanya kazi bila kuhangaika na vijembe, ameanza kudhihirisha udhaifu sana kwenye kuongea bila kutafakari, anasema lolote na chochote wakati wowote.
Nasoma jinsi mnavyomlalamikia kule kwa jukwa la siasa, hivyo kwa yeye kukurupuka kuhusu jokes za Wakenya na kuzichukulia serious kama hotuba ya taifa lenu, inabidi tumuelewe.

Naona ipo siku mtamkumbuka Kikwete kwa majonzi.
Mkubwa mm ni matanzania Kwanza nakupe ongera umeandika ukweli usio pingika 100%
 
Hii inatoka na mkenya kupiga picha ya moderm suspended bridge of 680M constructed along Indian ocean from Dar city centre to Ireland area (Kigamboni) na kuweka on social network kuwa iko kenya
hawafanyi

Hakuna tendo alifanyalo Mwanadamu liwe sirini au hadharani ambalo halitahukumiwa. Acheni ulevi wa kumtumikia shetani mitandaoni kwa sababu si Magufuli wala nani atakutetea siku ya hukumu.

Lengo lako la kuongea uwongo na kujifanya mkenya hapa mtandaoni unaifahmau wewe lakini ujue utalitolea hesabu siku moja. Nakushauri utubu!
 
Back
Top Bottom