Magufuli awaonya wakenya

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,187
President wa Tz Magufuli amewaonya wananchi wa Kenya kuacha kujisifia kwa miradi ya nchi jirani inayojengwa na ikikamilika wanapiga picha na kujisifia kuwa iko kenya,, kasema ukiona uzuri wa miradi ujue imegharamiwa na watu wanajua wajibu wao.

Hii inatoka na mkenya kupiga picha ya moderm suspended bridge of 680M constructed along Indian ocean from Dar city centre to Ireland area (Kigamboni) na kuweka on social network kuwa iko kenya

Hapa inatupa picha sisi wakenya kuwa viongozi wetu wanapenda kuiba pesa kwenye counts na government but no development up to the end tunabaki kuonea gere miradi mizuri ya wenzetu na kujifanya yetu huku viongozi wetu hawafanyi
 
President wa Tz Magufuli amewaonya wananchi wa Kenya kuacha kujisifia kwa miradi ya nchi jirani inayojengwa na ikikamilika wanapiga picha na kujisifia kuwa iko kenya,, kasema ukiona uzuri wa miradi ujue imegharamiwa na watu wanajua wajibu wao. Hii inatoka na mkenya kupiga picha ya moderm suspended bridge of 680 km constructed along Indian ocean from Dar city centre to Ireland area (Kigamboni) na kuweka on social network kuwa iko kenya

as of now, you guys should bridge on rifts of corruption, ethnicity and tribalism, which still run so deep before even thinking of having such splendid structures as kigamboni suspension bridge.
 
This is really laughable, so a whole president had to respond to some non entity who posted online that the bridge is in Kenya?

Hii ni upumbavu wa juu sana. I really hope it is not true.
 
Hehehe!! Mleta mada unabonyeza bonyeza hata bila kujua unaandika nini, hiyo elimu yenu ya Danganyika ni majanga.

Halafu ingekua bora sana kwa rais wenu kufanya kazi bila kuhangaika na vijembe, ameanza kudhihirisha udhaifu sana kwenye kuongea bila kutafakari, anasema lolote na chochote wakati wowote.
Nasoma jinsi mnavyomlalamikia kule kwa jukwa la siasa, hivyo kwa yeye kukurupuka kuhusu jokes za Wakenya na kuzichukulia serious kama hotuba ya taifa lenu, inabidi tumuelewe.

Naona ipo siku mtamkumbuka Kikwete kwa majonzi.
 
raisi hawezi ongea maneno kama haya, huyu ni mjinga tu kaamua kuleta hii maada ya kipuuzi, ndo maana taarifa haina hata source. kwahiyo uctuchukulie kiivo.
 
.... ila daraja urefu ni mita 680 siyo 680KM

Asante ndugu kwa ufafanuzi maana nilivuta picha ya hizo 680 nikajikuta nimeisha pita moshi na naitafuta arachuga na bado kilometa zina soma tu.

nikahisi huenda watu wanakosea hilo daraja kwamba itakua ni kati ya kurasini na lindi kupitia kigamboni.
 
President wa Tz Magufuli amewaonya wananchi wa Kenya kuacha kujisifia kwa miradi ya nchi jirani inayojengwa na ikikamilika wanapiga picha na kujisifia kuwa iko kenya,, kasema ukiona uzuri wa miradi ujue imegharamiwa na watu wanajua wajibu wao. Hii inatoka na mkenya kupiga picha ya moderm suspended bridge of 680 km constructed along Indian ocean from Dar city centre to Ireland area (Kigamboni) na kuweka on social network kuwa iko kenya

Hapa inatupa picha sisi wakenya kuwa viongozi wetu wanapenda kuiba pesa kwenye counts na government but no development up to the end tunabaki kuonea gere miradi mizuri ya wenzetu na kujifanya yetu huku viongozi wetu hawafanyi
Nyang'au! This is nonsense, tell us the source of this info.
 
This is really laughable, so a whole president had to respond to some non entity who posted online that the bridge is in Kenya?

Hii ni upumbavu wa juu sana. I really hope it is not true.
jamaa mwenyewe unafikiri ni mkenya basi kaamua tu kuchonganisha watu.
 
President wa Tz Magufuli amewaonya wananchi wa Kenya kuacha kujisifia kwa miradi ya nchi jirani inayojengwa na ikikamilika wanapiga picha na kujisifia kuwa iko kenya,, kasema ukiona uzuri wa miradi ujue imegharamiwa na watu wanajua wajibu wao.

Hii inatoka na mkenya kupiga picha ya moderm suspended bridge of 680M constructed along Indian ocean from Dar city centre to Ireland area (Kigamboni) na kuweka on social network kuwa iko kenya

Hapa inatupa picha sisi wakenya kuwa viongozi wetu wanapenda kuiba pesa kwenye counts na government but no development up to the end tunabaki kuonea gere miradi mizuri ya wenzetu na kujifanya yetu huku viongozi wetu hawafanyi
Chanzo cha habari?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom