Magufuli atatufikisha huku kweli kwenye hizi flying over??

Jamani kuna miji imetulia aisee daaaaah...tutaishia kuota tu hatufiki ng'o..labda niwe rais
 
Ooyooo kuna ndoto za usingizini na ndoto za mchana wa jua kali na hii ni ya mchana wa jua kali na tutaweza hii ndoto ya mchana lakini ya usingizini katu na abadan hatuiwezi hata tuwe na uzalindo gani maana hiyo ya kibiti tu nusu karine toka awamu ya kwanza hadi laana ya leo tena kamasi inatoka itakua hii ya juu na hiyo mitaro ya mavi inatushinda hadi waje machina na hapo hapo tunawazingua kwa ten pasenti
 
tukichukuliwa Wadanganyika sote tupelekwe kwenye mjii huo na hao raia wa hapo waletwe TZ haitochukuwa hata miaka mitani tutaanza kukimbilia TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…