Magufuli atashindwa uchaguzi wa mwaka 2020

Magufuli atashindwa uchaguzi wa mwaka 2020

lakini mwaka 2020 kuna mengi yatakuja uwezekano wa kufanya magumashi ni mdogo sana
Kweli?
Usifanye nikakumbuka hii tarehe yetu ya leo!
Matumaini haya unayapata wapi; una jiko la wapishi nami nijongee?
 
Kweli?
Usifanye nikakumbuka hii tarehe yetu ya leo!
Matumaini haya unayapata wapi; una jiko la wapishi nami nijongee?
Kila kitu kina mwisho wake walikuwepo akina Iddy Amin dada aliyekuwa na msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Bashite leo hii wapo wapi mwisho wa ubaya ni aibu kubwa, wapo wapi akina Gadafi, Abacha, Bokassa, mabutu, chiluba na wenzao.
 
Piere liquid kaanza laana dhidi ya Maliyamungu Bashite
 
Hivi katiba ya CCM haikubadilishwa? Ninavyokumbuka ilibadilishwa na utaratibu ulivyo ni kwamba atakayechaguliwa ndani ya chama kugombea urais ni lazima atoboe two seasons,au nimekosea?
 
Kwa jinsi ninavyokumbuka mabadiliko ya katiba ya CCM hayaruhusu kura za maoni za ndani ya chama ktk kumtafuta mgombea Wa awamu ijayo bali ni huyuhuyu Hon. JPM
 
Kila kitu kina mwisho wake walikuwepo akina Iddy Amin dada aliyekuwa na msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Bashite leo hii wapo wapi mwisho wa ubaya ni aibu kubwa, wapo wapi akina Gadafi, Abacha, Bokassa, mabutu, chiluba na wenzao.
Mkuu umekata furaha na raha niliyoanza kuhisi.
Kumbe tunasubiri kudra za Mwenyezi; lini? Mimi nilidhani matunda ni 2020 au hata kabla!
 
Kila kitu kina mwisho wake walikuwepo akina Iddy Amin dada aliyekuwa na msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Bashite leo hii wapo wapi mwisho wa ubaya ni aibu kubwa, wapo wapi akina Gadafi, Abacha, Bokassa, mabutu, chiluba na wenzao.
Ukweli mtupu Mkuu japo ni maumivu kwa wahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss Pascal Mayalla Nakubaliana na wewe, Upinzani wana kazi sana Uchaguzi ujao 2020,
Labda MIUJIZA itokee,

Boss Pascal, nina swali nje ya Mada yako, Hivi Chama na Jamhuri hawajafika Bei kweli kwako???!!!
Au unajali sana Reputation aka Heshima yako kwa Jamii??
Maana Teuzi kila Uchwao, ila Jina lako sijaliona wala kulisikia.
Ni swali tu Mwananchi mwenzangu.


Kuota ndoto mchana pia ruksa, watu makini wenye jicho la kuona mbali, sasa hivi hawazungumzii kabisa 2020, bali sasa ni 2025 kubadili katiba ili aendelee
https://www.jamiiforums.com/threads...na-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/

https://www.jamiiforums.com/threads...nzani-au-mshindani-au-ni-magufuli-tu.1312536/

P
 
Kwa jinsi ninavyokumbuka mabadiliko ya katiba ya CCM hayaruhusu kura za maoni za ndani ya chama ktk kumtafuta mgombea Wa awamu ijayo bali ni huyuhuyu Hon. JPM
Ni kweli isipokuwa kws sasa ndani ya chama waliowengi hawamuungi mkono kwa sababu mbalimbali. Mf rahisi ni kwamba 2015, wapo wale wafia chama ambao walipambana kuhakikisha ccm inapata ushindi. Baada yakukamata usukani kazi ya kwanza ni kuwapiga pembeni watu wale kwa hofu kuwa walikuwa bado ni masalia wa Mh Edo. Wengi wao waliokumbwa na kiama kile walikuwa ni Wakuu wa Mikoa/Wilaya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri.

Hadi hivi sasa wengi wao bado wapo benchi. Kumbuka kwamba wale walikuwa ni Makada wazuri na watiifu kwa chama. Hawa ndio wanaoendesha harakati zakumng'oa. Waliochukuwa nafasi zao wengi wao sio Makada wa chama bali ni TISS hivyo wale Makada na wengineo itakuwa rahisi kwao kuendesha propaganda za kumng'oa. Wakishindwa kwenye ngazi ya chama basi watahamishia nguvu zao upande wa Upinzani.

Hivi sasa Upinzani mkubwa uko ndani ya chama chake ila ni vigumu kuona kwani wengi wao.wanaogopa easipotezwe na wale jamaa wasiojulikana. Ila muda utakapowadia utawaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss Pascal Mayalla
Boss Pascal, nina swali nje ya Mada yako, Hivi Chama na Jamhuri hawajafika Bei kweli kwako???!!!
Au unajali sana Reputation aka Heshima yako kwa Jamii??
Maana Teuzi kila Uchwao, ila Jina lako sijaliona wala kulisikia.
Ni swali tu Mwananchi mwenzangu.
Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa ndio maana silambi uteuzi, ila leo ghafla nimeamua kujiunga CCM ya leo na nitakabidhiwa rasmi kadi yangu pale ofisi ndogo ya CCM Lumumba na Mwenyekiti wa CCM, Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Hivyo from there, tegemea lolote.
P
 
R.I.P Mawazo na wenzako mliosulubiwa bila kosa. Poleni mlioswekwa mahabusu bila kosa.
Poleni wahanga wa majanga mliodhulumiwa hata misaada ya wasamaria.

Poleni wafanyakazi kwa shuruba miaka 4 bila nyongeza wala promosheni. Ila mwaka huu mtafutwa machozi ya mamba.

Hongereni watawala wetu kwa kuongoza kwa haki, usawa na weledi. Naomba malipo yawe hapa hapa
.
tapatalk_1553404059936.jpeg


Jr[emoji769]
 
wanamvumilia kwa sababu ya kulinda stability ya taifa(National Stability) na sio kwa kumuogopa au kushindwa.
Hapo kwenye red, ni akina nani wanaunda hilo 'taifa'? Wanaheshimu katiba au ni kulinda hiyo stability ya taifa? Kwani allingiaje Ikulu?
 
KAMA MTU ALIYEFANYA YOTE HAYA ATASHINDWA UCHAGUZI, HUYO ATAKAYEMSHINDA ATAKUWA AMEFANYA NINI?

MTU YEYOTE MWENYE AKILI ZURI NA HANA CHUKI BINAFSI HAWEZI KUUELEWA UZI HUU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss Pascal Mayalla Heeeeheee,
Happy Fools Day aka Leo ni sikukuu ya Wajinga, Sijadanganyiki aisee,
Ila Ukweli, napendaga sana Mabandiko yako.


Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa ndio maana silambi uteuzi, ila leo ghafla nimeamua kujiunga CCM ya leo na nitakabidhiwa rasmi kadi yangu pale ofisi ndogo ya CCM Lumumba na Mwenyekiti wa CCM, Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Hivyo from there, tegemea lolote.
P
 
Kushindwa kwenye sanduku la kura atashindwa sana lakini ataendelea kutawala kwa mabavu!
 
Back
Top Bottom