Kwenda zako na huruma zako zisizokuwa na maana yoyote. Jipe pole mwenyewe kwa mambo yako kukwama kama yapo.R.I.P Mawazo na wenzako mliosulubiwa bila kosa. Poleni mlioswekwa mahabusu bila kosa.
Poleni wahanga wa majanga mliodhulumiwa hata misaada ya wasamaria.
Poleni wafanyakazi kwa shuruba miaka 4 bila nyongeza wala promosheni. Ila mwaka huu mtafutwa machozi ya mamba.
Hongereni watawala wetu kwa kuongoza kwa haki, usawa na weledi. Naomba malipo yawe hapa hapa