Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,027
- 288,380
Mwanzo nilidhani uzi huu ni masihara , lakini sasa ninaanza kuuamini
aaaaaah!Habari za wakati huu;
Kama kawaida kuna wengine wanweza kuona kama huu ni utani ila ndio ukweli:
Habari zisizikuwa na shaka na ambazo wengi hawaziamini wanasema kwamba Magufuliwa atang'olewa mwaka 2020.
Wanaoshiriki katika kamati hii ya fitina ya kumng;oa ni viongozi waandamizi wa zamani na wasasa pamoja wanasiasa nguli katika kambi ya upinzani na ndani ya chama tawala.
Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba kwa sasa wangeshafanya uamuzi ila wanamvumilia kwa sababu ya kulinda stability ya taifa(National Stability) na sio kwa kumuogopa au kushindwa.
Vile vile upo mkakati wa kumska mrithi wake ambaye mpaka sasa hajapatikana wa hakika ambaye ataleta figisu kama za Magufuli.
Mkakati huu unahusisha watu mashuhuri sana.
Jinsi atakavyotolewa.Itaanza kwenye kura za maoni ndani ya chama.Hawatasubiri aingie kwenye sanduku la kura na kwa hio kuna uwezekano kabisa Magufuli akawa rais wa Muhula mmoja.
sio vema kudharau kila kitu ,sio vizuri kuamini kila kitu !!Kuota usiku sio kosa,ila kuota mchana lazima kuna shida sehemu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nadhani bado hujakuwa kisiasa.Habari za wakati huu;
Kama kawaida kuna wengine wanweza kuona kama huu ni utani ila ndio ukweli:
Habari zisizikuwa na shaka na ambazo wengi hawaziamini wanasema kwamba Magufuliwa atang'olewa mwaka 2020.
Wanaoshiriki katika kamati hii ya fitina ya kumng;oa ni viongozi waandamizi wa zamani na wasasa pamoja wanasiasa nguli katika kambi ya upinzani na ndani ya chama tawala.
Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba kwa sasa wangeshafanya uamuzi ila wanamvumilia kwa sababu ya kulinda stability ya taifa(National Stability) na sio kwa kumuogopa au kushindwa.
Vile vile upo mkakati wa kumska mrithi wake ambaye mpaka sasa hajapatikana wa hakika ambaye ataleta figisu kama za Magufuli.
Mkakati huu unahusisha watu mashuhuri sana.
Jinsi atakavyotolewa.Itaanza kwenye kura za maoni ndani ya chama.Hawatasubiri aingie kwenye sanduku la kura na kwa hio kuna uwezekano kabisa Magufuli akawa rais wa Muhula mmoja.
Mkuu Elungata , swala la kukubali au kukataa linategemea wanashirikishwa kina nani.hatukubali yaani hatukubali kabisaaaa
Propaganda mabaya sana hii ya kufanya upinzani uhisi pia kuwa kuna upinzani ndani ya ccm .. Ukija kushituka jamaa 2023 anabadili muongozo aongoze hadi 2035Habari za wakati huu;
Kama kawaida kuna wengine wanweza kuona kama huu ni utani ila ndio ukweli:
Habari zisizikuwa na shaka na ambazo wengi hawaziamini wanasema kwamba Magufuliwa atang'olewa mwaka 2020.
Wanaoshiriki katika kamati hii ya fitina ya kumng;oa ni viongozi waandamizi wa zamani na wasasa pamoja wanasiasa nguli katika kambi ya upinzani na ndani ya chama tawala.
Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba kwa sasa wangeshafanya uamuzi ila wanamvumilia kwa sababu ya kulinda stability ya taifa(National Stability) na sio kwa kumuogopa au kushindwa.
Vile vile upo mkakati wa kumska mrithi wake ambaye mpaka sasa hajapatikana wa hakika ambaye ataleta figisu kama za Magufuli.
Mkakati huu unahusisha watu mashuhuri sana.
Jinsi atakavyotolewa.Itaanza kwenye kura za maoni ndani ya chama.Hawatasubiri aingie kwenye sanduku la kura na kwa hio kuna uwezekano kabisa Magufuli akawa rais wa Muhula mmoja.
Ndoto za mchana!hatukubali yaani hatukubali kabisaaaa
HAIWEZEKANI......MAGUFULI HANA AIBU...HATAKUBALI HICHO KITU KITOKEEHabari za wakati huu;
Kama kawaida kuna wengine wanweza kuona kama huu ni utani ila ndio ukweli:
Habari zisizikuwa na shaka na ambazo wengi hawaziamini wanasema kwamba Magufuliwa atang'olewa mwaka 2020.
Wanaoshiriki katika kamati hii ya fitina ya kumng;oa ni viongozi waandamizi wa zamani na wasasa pamoja wanasiasa nguli katika kambi ya upinzani na ndani ya chama tawala.
Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba kwa sasa wangeshafanya uamuzi ila wanamvumilia kwa sababu ya kulinda stability ya taifa(National Stability) na sio kwa kumuogopa au kushindwa.
Vile vile upo mkakati wa kumska mrithi wake ambaye mpaka sasa hajapatikana wa hakika ambaye ataleta figisu kama za Magufuli.
Mkakati huu unahusisha watu mashuhuri sana.
Jinsi atakavyotolewa.Itaanza kwenye kura za maoni ndani ya chama.Hawatasubiri aingie kwenye sanduku la kura na kwa hio kuna uwezekano kabisa Magufuli akawa rais wa Muhula mmoja.
Naanza kujiandaa kufanya sherehe ikiwa ivoooHabari za wakati huu;