Magufuli atamba CCM haina mbadala

Magufuli atamba CCM haina mbadala

1.sela zinazokublika kwa Watanzania
2. Wanachama waliojengwa kiitikadi wala sio kiushabiki.
3. Umahili wa viongozi wake.
Mkuu asante kwa kujitahidi kujibu japo hujajibu swali la msingi. Pia kajifunze matumizi ya "r" na "l".
 
Hakuna anayeonaga mwisho wake, historia imetufundisha mengi sana kuwa na hofu na kauli kama hizi, tumeona vyama imara na vikubwa zaidi vikiangushwa, tumeona viongozi wababe haswa, wenye akili zaidi, wenye majeshi yenye nguvu, lakini mwisho anguko liliwakumba, ni suala la muda tu
 
Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniepusha kuchangia mada za hovyohovyo kama hizi!!
 
Back
Top Bottom