Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,129
- 144,604
Watu wengi wanaona ni Lowassa tu ndio atakuwa ameumizwa na jinsi mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulivyofanyika. Hakika hii si kweli kuna wengi tu watakuwa wanaumia japo hawaonyeshi hali hiyo hadharani.
Kisicho riziki hakiliki hivyo Magufuli anaweza nae kuishia njiani tu au akaja kushindwa vibaya tofauti na wengi mnavyofikiri.
Mimi si mwana-CCM ila mchakato huu umedhalilisha sana baadhi ya watu na huenda hata wanajuta kushiriki
Magufuli leo anacheka lakini kesho anaweza kulia na kuona ni bora hata asingepata hiyo nafasi.
CCM mmedhalilisha sana baadhi ya watu kwenye huu mchakato na mnaweza adhibiwa vibaya kupitia Magufuli.
Mlio dhalilishwa mnaweza kuja kupata faraja kupitia UKAWA au kwa njia nyingine na ikawa funzo kwa viongozi wenu kutenda haki katika kufanya uteuzi.
Mlioumizwa ombeni mungu UKAWA(chaguo la mungu) litawafuta machozi.
Masikini Jaji Ramadhani,Pinda na wengineo sijui saa hizi mnaionaje hii dunia sipati picha.