Magufuli anaweza asiwe Rais wa nchi hii

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,066
144,501
Watu wengi wanaona ni Lowassa tu ndio atakuwa ameumizwa na jinsi mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulivyofanyika. Hakika hii si kweli kuna wengi tu watakuwa wanaumia japo hawaonyeshi hali hiyo hadharani.

Kisicho riziki hakiliki hivyo Magufuli anaweza nae kuishia njiani tu au akaja kushindwa vibaya tofauti na wengi mnavyofikiri.

Mimi si mwana-CCM ila mchakato huu umedhalilisha sana baadhi ya watu na huenda hata wanajuta kushiriki

Magufuli leo anacheka lakini kesho anaweza kulia na kuona ni bora hata asingepata hiyo nafasi.

CCM mmedhalilisha sana baadhi ya watu kwenye huu mchakato na mnaweza adhibiwa vibaya kupitia Magufuli.

Mlio dhalilishwa mnaweza kuja kupata faraja kupitia UKAWA au kwa njia nyingine na ikawa funzo kwa viongozi wenu kutenda haki katika kufanya uteuzi.

Mlioumizwa ombeni mungu UKAWA(chaguo la mungu) litawafuta machozi.

Masikini Jaji Ramadhani,Pinda na wengineo sijui saa hizi mnaionaje hii dunia sipati picha.
 
Unamaanisha watu hawakubali kwamba wameshindwa? Pole yao.....
 
CCM haijadhalilisha mtu, bali wao ndio wamejidhalilisha kwa kujifanya Miungu watu ndani ya chama, CCM si ya babako, na wala ikulu si ya babako. Au hukumwelewa Dogo Jembe alichokuwa anamaanisha?
 
Ulitaka wagombea wote wapite 5 bora?? Sasa mshindi angepatikana vipi....ujinga tu.
 
Watu wengi wanaona ni Lowassa tu ndio atakuwa ameumizwa na jinsi mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulivyofanyika. Hakika hii si kweli kuna wengi tu watakuwa wanaumia japo hawaonyeshi hali hiyo hadharani.

Kisicho riziki hakiliki hivyo Magufuli anaweza nae kuishia njiani tu au akaja kushindwa vibaya tofauti na wengi mnavyofikiri.

Mimi si mwana-CCM ila mchakato huu umedhalilisha sana baadhi ya watu na huenda hata wanajuta kushiriki

Magufuli leo anacheka lakini kesho anaweza kulia na kuona ni bora hata asingepata hiyo nafasi.

CCM mmedhalilisha sana baadhi ya watu kwenye huu mchakato na mnaweza adhibiwa vibaya kupitia Magufuli.

Mlio dhalilishwa mnaweza kuja kupata faraja kupitia UKAWA au kwa njia nyingine na ikawa funzo kwa viongozi wenu kutenda haki katika kufanya uteuzi.

Mlioumizwa ombeni mungu UKAWA(chaguo la mungu) litawafuta machozi.

Masikini Jaji Ramadhani,Pinda na wengineo sijui saa hizi mnaionaje hii dunia sipati picha.

Pumbaa tupu. Hivi hamchoki kuandika mashudu?
 
Salary Slip

Wakija ukawa mnaweza kuwafabya wote kuwa marais au.. Tulieni watu wafanye kazi..
 
Last edited by a moderator:
Ulitaka wote 38 wawe washindi?
Magufuli jembe, Ukawa subirin awamu nyingne lakn sio hii ya 2015...

Ukawa hamna mtu anayeweza kusimama na akaleta ushindan kwa magufuli.

Ni bora wakasimamishwa watu kama Tundulisu lakin sio hao wenye mawazo chakavu akina slaa, na lipumba..

Magufuli n mwiba mkali sana
 
Salary Slip

Mkuu kwani wewe ulitaka uchaguzi wa CCM uweje? Maana kilichofanyika ndiyo maamuzi ya wana CCM wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Kwani hata kama hao wagombea wakienda UKAWA inamaana wote watakuwa marais? Kama kupata nafasi za uwaziri hata huko CCM watapata itategemea maamuzi yao na ya chama chao.
 
Uko sahihi kabisaa.... Probability ya Magufuli kushinda ni NGUMU SANAAAAAAA... watu hawalioni hilo...!!!

Magufuli hana ile HAIBA ya MVUTO kwa watu, hata ongea yake haivutiiiii hadhira, hana ile gesture ya kuvutia wapiga kura automatically, hana maneno mapya ya kuvutia wapiga kura, as well, HATA UDHAMINI WAKE watu wachache mnooo walijitokeza...

So ukizingatia CCM, watu hawana imani na JK, au yeyote yule atakaye msaidia Magufuli jukwaani kuwa convince wapiga kura, hali itakuwa ngumu ngumu mnooo kwa CCM...

Upande wa pili, Lowassa, atamwaga ugali tu, wote wakose... HALI YA CCM ndio imezidi kuwa mbaya, sbb na uhakika Si JK, Mkapa, Mwinyi, Karume ana ushawishi kwa wananchi sasa hv kama Lowassa, au Dr. Slaa.. hapo ndipo pagumu mnoooo kwa CCM... cjui Magufuli afanyaje. .!!!

CCM wakitegemea kuiba kura, hawataweza kwa sasa, hali ni ngumu mnoo kwa CCM, nashangaa watu hawalioni hilo, wanabaki kushangilia...nasema hakuna wa kumnadi Magufuli ndani ya CCM kwa sasa, watu washapoteza imani kabisa na wote walio madarakani na waliotoka madarakani kwa CCM, except Lowassa...

Hali ni ngumu mnoo CCM,

it's not over yet, till it is OVER....!! cjui Magufuli afanye nn mbele ya Dr. Slaa kwa sasa au Kuna Lowassa lazima amwage ugali...!!
 
Humjui Magufuli wewe, Dr Slaa mwenyewe hamuwezi Magufuli ata kwa uwezo wa kutoa hotuba tu na kuvutia wananchi kwa hotuba.https://www.youtube.com/watch?v=RQ1gMO54dj4

Haya sasa ndio Mafuriko ya uhakika...hapa hakukuwa na ata shillingi 1...https://www.youtube.com/watch?v=cxntnh6kaOQ
 
Back
Top Bottom